elewa what metrics wanatumia wakisema hivyo kisha ujiulize mbona nasema upperhill inaeza enda nao head-to-headUnafaham hakuna sehemu yenye utajiri Ila sandton Africa sasa upperhill zaidi ya minazi na jacaranda kuna nn lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Ama kuna Nairobi ingineNairobi inachekesha sana. Nusu ya majengo ni minara ya simu
This is a 36-floor building
That middle section umeandika 35 floors I can count only 33 floors. Sijui hizo zingine mbili umetoa wapi. Then the uppermost section is just one floor. Sioni floors mbili hapo juu. That brings total number of floors to 37.Leo mkome mmetuchosha KunyalandView attachment 1323441View attachment 1323442
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana naye. The floors are all here and they are 35.That middle section umeandika 35 floors I can count only 33 floors. Sijui hizo zingine mbili umetoa wapi. Then the uppermost section is just one floor. Sioni floors mbili hapo juu. That brings total number of floors to 37.
Upperhill and westlands Vs Part of Posta
View attachment 1323448
View attachment 1323450
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hii CBD inawanyima usingizi Hawa jamaaUpperhill and westlands Vs Part of Posta
View attachment 1323448
View attachment 1323450
Sent from my iPhone using JamiiForums
The pic doesn't show the whole building, heb chukua ile picha aliyo post jamaa juu hapo which show very clearly from the ground floor till topAchana naye. The floors are all here and they are 35.View attachment 1323498
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu count hiyo middle section ameandika 35 floors uniambie kama ziko 35 kweliThe pic doesn't show the whole building, heb chukua ile picha aliyo post jamaa juu hapo which show very clearly from the ground floor till top
Dar ni Posta pekee kwani??
Kuna Kijitonyama bro + ile PSPF building along Sam Nujoma Rd
Wakenya ina maana kwenu elimu ya sekondari bado mnalipia, hamuwezi hata kutoa elimu bure?
Sent using Jamii Forums mobile app