Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mna ubaguzi mbona Al Shabaab hamjwaalika? I guess wao huja bila hodi na kwa mateke!
Mbona sioni Tanzania huku na they have been growing at a rate of 7%?.
IMG_20200114_150709.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua nasema hapa kila siku two river yenye sqm 65,000 ambayo ndio kubwa EA and Central kama tukiipanga katika list kwakuangalia ukubwa basi Ni ya mbali sana Kuna jamaa wakenya wakawawabishi sana

Sasa nimeona isiwe kesi nadondosha kwenu idadi ya Malls kubwa RSA Alafu mjionee wenyewe
1.Johannesburg
2.Cape town
3.Durban
4.Pretoria
5.Port Elizabeth
Screenshot_2020-01-14-15-05-17-1.jpg
View attachment 1323225
Screenshot_2020-01-14-15-05-38-1.jpg
Screenshot_2020-01-14-15-05-48-1.jpg
Screenshot_2020-01-14-15-05-55-1.jpg
Screenshot_2020-01-14-15-06-02-1.jpg
Screenshot_2020-01-14-15-05-59-1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hapa sitachoka kuangalia. Pinnacle and 88 Nairobi will tower over GTC in the background by 2030 if all goes well. The most interesting part is that Upperhill and Community areas still have quite a lot of undeveloped spaces. Just imagine taking another picture in 2040 from the same location

View attachment 1323200
Almost 50% of land in Upper Hill is still undeveloped. The problem is that roads there are a bit narrow and the contractors given projects there end up doing dissaponting work most of the time.
 
Back
Top Bottom