Ku reduce haina maana kua imeishia akili huna weweππππU heard Ichoboy bragging here that accidents in Tz has reduced by 80%, so this is the remaining 20%?[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Of course hasa kwa wale wenye unafuu wa kipato,ni bora hao wanasafiri ku explore.Swali wa tzn huwa tunasafiri kwenda wapi ukiacha wachaga waorudi kwao kwa sababau za kimila na kitamaduni? Jibu ni kwamba pesa ya kusafiri kula maisha hatuna
Ukweli ni kwamba pesa hakuna,kila mwana EAC nje ya Kenya ukimuuliza unataka usafiri mji gani definately atakwambia Nairobi au Addis coz kuna vitu vya kwenda ku explore ukiacha mambo ya wanyama/nature kwa TznYou don't have money. Tanzanians that have money spent their time in Nairobi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema wewe huna pesa, usijumuishe. Ungesafiri ungejua kuwa waTz kibao wanasafiriOf course hasa kwa wale wenye unafuu wa kipato,ni bora hao wanasafiri ku explore.Swali wa tzn huwa tunasafiri kwenda wapi ukiacha wachaga waorudi kwao kwa sababau za kimila na kitamaduni? Jibu ni kwamba pesa ya kusafiri kula maisha hatuna
Magu akitoka itarejea kwenye ligi ya majengo marefu maana huyu sio rafiki wa sekta binafi na sekta ya uma iliyokuwa inawekeza kwenye ujenzi wa majengo marefu ali ipiga piniDar will remain static forever. As Nairobi and Addis Ababa are adding more tall buildings Dar is adding the number of witches three times.
Sent using Jamii Forums mobile app
naeza post Nairobi in four different angles ya gorofa tu without Britam, GTC, UAP, Prism, KICC, Times Tower. Dar hamna picha ya the most developed places without hizo 3 skyscrapers.
wafanya biashara ,mimi sina pesa za kufika huko Duniani kwa sasa but soon nitaanza kusafiri nikikamilisha mipango yangu iliyo kwenye pipeline kwa sasa inayochukua pesa yangu,maana ku explore ndio hobby yangu but kwa Tzn yote nimemaliza hakuna mkoa nisioufahamuSema wewe huna pesa, usijumuishe. Ungesafiri ungejua kuwa waTz kibao wanasafiri
Nimecheka kama mazuri but wamenikumbusha back in 1995 niliwahi kalia mawe na miti std 1 ila ndani ya classSi Bora ya hao wamekalia dawati nzuri kabisa hawa jeππππππ
Unafahamu kuwa Tanzania ni top tourist source ya Kenya au haufahamu hiloOf course hasa kwa wale wenye unafuu wa kipato,ni bora hao wanasafiri ku explore.Swali wa tzn huwa tunasafiri kwenda wapi ukiacha wachaga waorudi kwao kwa sababau za kimila na kitamaduni? Jibu ni kwamba pesa ya kusafiri kula maisha hatuna
Heheh yani ww hua nikisoma comment zako hua nachoka sana hvi ni nani sasa hvi anampango na Nairobi kwa lipi haswa hebu nijuze mmπππUkweli ni kwamba pesa hakuna,kila mwana EAC nje ya Kenya ukimuuliza unataka usafiri mji gani definately atakwambia Nairobi au Addis coz kuna vitu vya kwenda ku explore ukiacha mambo ya wanyama/nature kwa Tzn
Mtu kama mimi napenda utalii wa maendeleo sio wa nature sijui kuangalia nyumbu au kucheza bich no
ππππππHebu post basi tuone.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumbe huna pesa kaa kimya sasa yani unaongea kama vile umezunguka dunia πππππwafanya biashara ,mimi sina pesa za kufika huko Duniani kwa sasa but soon nitaanza kusafiri nikikamilisha mipango yangu iliyo kwenye pipeline kwa sasa inayochukua pesa yangu,maana ku explore ndio hobby yangu but kwa Tzn yote nimemaliza hakuna mkoa nisioufahamu
πππππππacha kujikuta mjuaji!!
sasa hao wenzako wanaosema Kenya wakafuate nini unawaambia nini? wa tag hii link afu mumalizane huko anza na Icho kauliza nani ana mpango na Nairobi karne hii?Unafahamu kuwa Tanzania ni top tourist source ya Kenya au haufahamu hiloView attachment 1321570
Sent using Jamii Forums mobile app
huo ndo ukweli unaanzaje kujenga complex kama ya mabibo around uswahili kama vile,hayo ni matumizi mabaya ya akiliacha kujikuta mjuaji!!