Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Badala ya kuleta jengo,unaleta porojo..Sasa ingefaa useome kwamba kulingana na wewe, unaona kwamba TPA is attractive ila usiseme kwamba ndio jengo attractive kushinda zote EA Kwa sababu watu wako na mtazamo tofauti na pia hakuna orodha inayosema kwamba it's attractive kushinda zote. Pengine kulingana nami hiyo TPA ama GTC should not come anywhere close to being called attractive. You have a very rigid mind and please don't make us think or reason the same way you do or look at things
