Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulikua tunaongelea urembo.....but nipee mfano wa lupita...na wangai maathai nikutii
Upande wa mitindo kiukwel Flaviana Matata anatuwakilisha vyema,Miriam Odemba huyu yupo kwenye cabinet ya miss world design kama tunafujo zetu kadhaa
 
acha kuwa mzee wenzako washasema.....wew mbumbumbu ndiye unayesakata rumba unajitia vidole mwenyewe...[emoji31] [emoji31] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazimu huita razini, wazimu! Tayari wewe mwehu dhahiri shahiri, watu wanajadili Dar na Nairobi, wewe unajadili Wanjala?? Kwa huu ukumbi, bila shaka wewe una akili taakhira!
 
Upande wa mitindo kiukwel Flaviana Matata anatuwakilisha vyema,Miriam Odemba huyu yupo kwenye cabinet ya miss world design kama tunafujo zetu kadhaa
Can't compare with lupita and wangari maathai
 
Nairobi, Residential areas
The Tanzanian douchebags are still here trying to justify their ugly poor city....hehehe. Waende watafutane na kina Mozambique ndio watashtua na hiyo overgrown village yao ambayo wanaita city
 
Lupita anafahamika kwote unless wewe ni mbuzi....
Hehehe these Tanzanians hakunanga hata kitu moja wanaeza tuambia....Kenyans tuko ligi soh.Wangari Maathai....Obama...Lupita. ..Wanyama....Mariga who has a champions league medal....Divok Origi........infact Diamond and Alikiba are popular coz of Kenyan support. ....Venessa Mdee pia alichanukia tu hapa NAIROBI akisoma Catholic University. .....[HASHTAG]#RespectTheOGz[/HASHTAG]
 
Hapo sawa respecttheOG's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…