COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Shidaako hukusoma ama ulipata masomo duni...ndio maana hauelewi any....buda nkutumie fee uanze 1st yearSometimes unapoint sometimes pumba hua sielew apo, alafu pumba zako ni zakiwango kabisa
Tell yourself whatever please youShidaako hukusoma ama ulipata masomo duni...ndio maana hauelewi any....buda nkutumie fee uanze 1st year
Kuna mkenya anaitwa lupita anajulikana dunia yote...alafu nyinyi mna sepetu anajulikana Tanzania yotehawagusi hata robo....hao makonokono....vimeo...kama wew
Asha rise migiro,flaviana matata to mention fewKuna mkenya anaitwa lupita anajulikana dunia yote...alafu nyinyi mna sepetu anajulikana Tanzania yote
huko mbali muekee ya bwagamoyo tuIpo ya chalinze -Moro..ntakuja na picha
Lupita ni world wide hadi aliwin Oscars so hakuna ata 1/100 kiwango take TzAsha rise migiro,flaviana matata to mention few
Nataka picha sitaki maneno bongolalahuko mbali muekee ya bwagamoyo tu
wapo kibao.......hao sema sisi hatutaki uraia pacha kama hivyo walio nnje huwa wanauchuna kimya kimya pasipo jipaisha...Kuna mkenya anaitwa lupita anajulikana dunia yote...alafu nyinyi mna sepetu anajulikana Tanzania yote
Asha rose migiro aliwah kua UN Secretary, hasa niambie who care abt Oscar?Lupita ni world wide hadi aliwin Oscars so hakuna ata 1/100 kiwango take Tz
Aty who cares???...oscars ni awards zingine ata miaka 100 zijazo hakuna mtz ata ziget...google kujua Oscars ni nini cko hapa kukuelemishaAsha rose migiro aliwah kua UN Secretary, hasa niambie who care abt Oscar?
Hapa hatyzungumzii ukimwengu wa filamu pekee broda ,think big hommie
kwaniv hao waliotajwa umeambiwa hawapo kimataifa wapo kibao hao kila mtu anachukua tuzo za kimataifa kulingana na talent blesed industry aliyopo wa TZ wapo kibao kabla ya lupitaLupita ni world wide hadi aliwin Oscars so hakuna ata 1/100 kiwango take Tz
Nakuru-Eldoret Highway can I get similar ones in Tz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Chalinze -Morogoro
Labda nirudie, sio kila awards kila mtu anacare ,Oscar n whatever haimfanyi mtu Kua bora kuliko wengine ,huwez compare reputation ya mtu aliewah kua UN SECRETARY Na mcheza sinema hata siku moja,uzuri wako hua unaoongea kama unekatwa kichwaAty who cares???...oscars ni awards zingine ata miaka 100 zijazo hakuna mtz ata ziget...google kujua Oscars ni nini cko hapa kukuelemisha
hana akili huyo mzee wa iphone7 hajui kama sisi wabongo si malimbukeni wa umaalufu kwani ...haitufaidishi kwa chichote bali atakaye faidika ni muhusika mwenye umaaluf hivyo wa TZ walio nnje ni kimya kimya....hawana shobo na mtu na sis hatuna shobo nao.....tunawapa respect kimya kimya maisha yanaendeleaLabda nirudie, sio kila awards kila mtu anacare ,Oscar n whatever haimfanyi mtu Kua bora kuliko wengine ,huwez compare reputation ya mtu aliewah kua UN SECRETARY Na mcheza sinema hata siku moja,uzuri wako hua unaoongea kama unekatwa kichwa
Tulikua tunaongelea urembo na fashion but juu umeruka story sawa...tuko na Martha karua only female with Nobel peace prize Africa....Labda nirudie, sio kila awards kila mtu anacare ,Oscar n whatever haimfanyi mtu Kua bora kuliko wengine ,huwez compare reputation ya mtu aliewah kua UN SECRETARY Na mcheza sinema hata siku moja,uzuri wako hua unaoongea kama unekatwa kichwa
Wewe ulitoa General comment tu ,nway ushaelewa sasaTulikua tunaongelea urembo na fashion but juu umeruka story sawa...tuko na Martha karua only female with Nobel peace prize Africa....
Tulikua tunaongelea urembo.....but nipee mfano wa lupita...na wangai maathai nikutiiWewe ulitoa General comment tu ,nway ushaelewa sasa
Sorry wangari maathai***Tulikua tunaongelea urembo na fashion but juu umeruka story sawa...tuko na Martha karua only female with Nobel peace prize Africa....