Af ukiwaangalia tu unajua uyu Mungiki uyu mweusiii af iyo sura ss hehehehee
Hawezi kurudi kenya kutokana na kenya kuna maisha ya hovyo,kuna mtu anapenda kulala dandora,mukuru au shego slum near the state house..
Halafu sasa hajatu-expose vyovyote jamaa yako anapiga picha maeneo ya dampo,jangwani..unaweza kuonekana chizi unashangaa takataka kuwepo dampo are you crazy or what!
Niliona notification nikaingia.
Haidhuru.
Tatizo si CBD tatizo ni kamera yake,hata hivyo anajitahidi kuposti picha za watu wa kipato cha chini,huwezi kufananisha na yale mabanda ya huko kwenu mna hali mbaya sana,mwambie aendelee kuposti picha za makazi ya watu atoke hapo jangwani aendelee mbele Magomeni,manzese ...Alishatuonyesha venye CBD yenyu is shit so he had to go other places. In fact alituonyesha hadi upanga na ni kuchafu hata kuliko Muthurwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha kali sana hizoView attachment 1308037
View attachment 1308038
Sasa picha kama hii mvua inanyesha alitakaje sijui?!!!mi sioni tatizo,it is raining.Labda wakenya mje mtusaidie mlitaka pawaje wakati huu wa mvua.
Alete na makazi hadi kule mbezi mwisho, asituletee hayo makazi ya zamani maana kuna makazi mapya sehemu nyingi tu,Tatizo si CBD tatizo ni kamera yake,hata hivyo anajitahidi kuposti picha za watu wa kipato cha chini,huwezi kufananisha na yale mabanda ya huko kwenu mna hali mbaya sana,mwambie aendelee kuposti picha za makazi ya watu atoke hapo jangwani aendelee mbele Magomeni,manzese ...
Tatizo si CBD tatizo ni kamera yake,hata hivyo anajitahidi kuposti picha za watu wa kipato cha chini,huwezi kufananisha na yale mabanda ya huko kwenu mna hali mbaya sana,mwambie aendelee kuposti picha za makazi ya watu atoke hapo jangwani aendelee mbele Magomeni,manzese ...
So wapi CBD kwa hii map yako? Unateseka kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nimependa kwa sababu kaitendea haki dar-es-salaam kaposti picha with no make-ups lakini zimekuwa very hotSo shida ni camera yake juu hajaedit na kueka filters[emoji1787][emoji1787][emoji1787] My friend you are a fool. Your CBD is dirty with no roads.
Sent using Jamii Forums mobile app
We bwege nikufundishe kusoma map?
Still CBD.Engineer ongeza mapicha I feel like laughing again[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app