Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

On hotels, Nairobi has 20 five star hotels with others are still built while Dar es saalam has 5 five star hotels.
On malls, Nairobi has the largest mall space after Johannesburg with a space of 369000, Dar has a mall space of 117000.
On international organizations, Nairobi has 50+ Dar haina hata moja.
On roads, please just use your brain. Nairobi has numerous roads 8+ lanes and 54+ interchanges while Dar haina 8 lane road hata moja.
On PAX, JKIA handled 6M passengers last year while JNIA only handled 1.2M passengers..
[emoji23][emoji23][emoji23] kwel ww akili zako mbovu yn unapenda sana kujifariji na hyo ndio tabia ya nyie Wakenya unapngea kitu ili moyo wako upate faraja wkt ukweli haupo hivyo aya tupe evidence ya hvyo vitu ulivyosema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jangwani sea breeze Mbezi beach.ushamba wake tu hajazoea kuona watu wakiinjoi namna hiyo,yeye anawaza ngono tu muda wote.Anadhani kama Nairobi bata za mafungu,huku mtoto wa maskini tajiri hakuna mipaka kuleni happy wote.
Nairobi kama baa ni ya kabila fulani haingii wa kabila la tofauti, pia kama ni ya mzungu ukiingia mtu mweusi wanakushangaa umetoa wapi hela na tena ukiendelea kuagiza vitu vya maana watakusogelea na kukuuliza "wewe ni mnigeria?"
 

Nenda mbezi beach, Madale, Goba, Kinyerezi, Bunju, Mbezi, Kijichi Nk uone Dream Houses ,
Angalia hiyo Video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…