Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa ni ufukweni ulitaka watu wavae makoti?!!!Ondoa ushamba wako hilo sio danguro,kutoka hapo ni hatua kama kumi tu uko kwny maji.Watu wako na raha zao haina ubaguzi tajiri maskini ruksa kula bata kokote.
Nilivist more than five resorts but this one was worse watoto wa watu wanaangamia kwa VVU usishabikie ujinga Kama wako hakukuepo basi wa mwenzako usisherehekee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwel ww akili zako mbovu yn unapenda sana kujifariji na hyo ndio tabia ya nyie Wakenya unapngea kitu ili moyo wako upate faraja wkt ukweli haupo hivyo aya tupe evidence ya hvyo vitu ulivyosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…