Magomeni,kigogo wanaishi watu wa kipato Cha Kati, hebu nambie kule tandale,mabibo, manzese etc wanaishi wa kipato kipi? Dar yote ni uswazi hata kule unako sifia Zile nyumba za mbezi bado hadhi yake ya chini mno ,sinza hata usitaje hamna kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nimepapenda Sana hapa Jangwani sea breeze jinsi watoto wanajiachilia kipwani ,Hawa wakiendelea hivi basi sioni VVU vikipungua Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hazijafikia uchafu wa NairobiOur super dream apartments.View attachment 1306985View attachment 1306986View attachment 1306987View attachment 1306988View attachment 1306989View attachment 1306990View attachment 1306991View attachment 1306992View attachment 1306993View attachment 1306994View attachment 1306995View attachment 1306996View attachment 1306997View attachment 1306998View attachment 1306999View attachment 1307000View attachment 1307001View attachment 1307002View attachment 1307003View attachment 1307004
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta picha za pamoja siyo nyumba mojamoja tuone kama zinafanana na slum za kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Jeshi lenu linajielewa wapi 😂😂😂Mbona ikulu wenu ipo sehemu wazi tu? Hapo kumteka jiwe ni sekunde tu Kwanza akipata jeshi ambalo linajielewa Kama KDF Navy wing wanapitia tu kwa lile Bomba la maji taka na wamo ndani ikulu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watoto nawahurumia.
Mbona ikulu wenu ipo sehemu wazi tu? Hapo kumteka jiwe ni sekunde tu Kwanza akipata jeshi ambalo linajielewa Kama KDF Navy wing wanapitia tu kwa lile Bomba la maji taka na wamo ndani ikulu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunataka utuleteeu swazi tunapo ishi maana dar tunaishi mseto masikini na Matajiri wapo uswazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujafikia flying toilets za Nairobi.
Hizo picha ulizo post ndiyo makaazi duni kabisa uliyopata dar sasa nenda Kenya uone makaazi duni kabisa ya kenyaOur super dream apartments.View attachment 1306985View attachment 1306986View attachment 1306987View attachment 1306988View attachment 1306989View attachment 1306990View attachment 1306991View attachment 1306992View attachment 1306993View attachment 1306994View attachment 1306995View attachment 1306996View attachment 1306997View attachment 1306998View attachment 1306999View attachment 1307000View attachment 1307001View attachment 1307002View attachment 1307003View attachment 1307004
Sent using Jamii Forums mobile app
Jeshi lenu linajielewa wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Embu nenda hilo eneo la wazi.
Kule uswazini kwenu Nani aende? Ukitembea tu steps mbili toka barabara kuu unapata wavulana amekaa vibarazani sijui Wana discuss Nini ,unataka niibiwe ? Ule uchochoro wenu acha tu sithubutu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuniwaza sana...
Hapa umeongea kama kunguru mnyongeMbona nimelitembea lote hadi kuvuka lile Bomba la maji taka nikiwa na kamera yangu ya Siri na kuchukua picha kadhaa,eneo lote linalindwa na mwanajeshi mmoja tu Ina ikulu Ina ua moja tu ,rahisi Sana kuingia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magomeni,kigogo wanaishi watu wa kipato Cha Kati, hebu nambie kule tandale,mabibo, manzese etc wanaishi wa kipato kipi? Dar yote ni uswazi hata kule unako sifia Zile nyumba za mbezi bado hadhi yake ya chini mno ,sinza hata usitaje hamna kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu Rais muda huu yupo wapi?Mbona nimelitembea lote hadi kuvuka lile Bomba la maji taka nikiwa na kamera yangu ya Siri na kuchukua picha kadhaa,eneo lote linalindwa na mwanajeshi mmoja tu Ina ikulu Ina ua moja tu ,rahisi Sana kuingia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko wazi eeh? Si hapo tuu hata visiwa unavyoviona, ncha za Kigamboni na Msasani vyote havina watu. Wewe nenda tuu kapige picha halafu utuwekee hapa ili kunogesha safari yako ya Dar.Mbona ikulu wenu ipo sehemu wazi tu? Hapo kumteka jiwe ni sekunde tu Kwanza akipata jeshi ambalo linajielewa Kama KDF Navy wing wanapitia tu kwa lile Bomba la maji taka na wamo ndani ikulu.
Sent using Jamii Forums mobile app