Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,740
Machinjio vingunguti yamesahaulika
Kwahiyo wewe unadhani wakaazi mil7 wa dar tunaishi wapi?Hadi sasa nashangaa Watanzania wanaishi wapi? sababu hawaishi kwenye estate's wala kwenye slum
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar is the only place on earth where google earth doesn't update images. Hata Ukirudi huku five years from now na ulete images za wakati huo, bado watakuambia tu ni za 90s! 😂 😂. Denial is in their blood
Unajua ukubwa wa dar es salaam ni 1600km² na kote kumejengwa sasa una shangaa nini ? Dar ni kubwa na imejengwa yoteHadi sasa nashangaa Watanzania wanaishi wapi? sababu hawaishi kwenye estate's wala kwenye slum
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndani ya dream houses 😂 😂 😂
Of course inejengwa yote 😂 😂Unajua ukubwa wa dar es salaam ni 1600km² na kote kumejengwa sasa una shangaa nini ? Dar ni kubwa na imejengwa yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Umewahi kubonyeza ile alama ya kuzoom + alafu ukazoom hadi mwisho? 😂😂😂
Ndio nini ifanyike?Hivi Umewahi kubonyeza ile alama ya kuzoom + alafu ukazoom hadi mwisho? 😂😂😂
Ona unavyomkana mkenya mwezako.Huyo anaishi Kenya ya wapi? Soda ndogo 300ml ni Ksh30 na ile kubwa 500ml ni Ksh 50
Najua hupendi kabisa neno kuzoom 😂😂😂Ndio nini ifanyike?
Walker lile jengo refu pale lina gorofa ngapi?
tell them, in foreward kushoto ni Kariakoo and kulia ni UpangaWalker lile jengo refu pale lina gorofa ngapi?
View attachment 1305831
Bwaaaahhh nilikuambia ukitia guu Kenya tu ndiyo mwisho wa kumuona VIKING23 aka JANEROSE kapotea tangu ajue upo kenyaNiko dunga beach yani ni uozo wa batataxi baiskeli zipo mpaka beach mpaka mbuzi pia wamekuja kutembea View attachment 1305793View attachment 1305794View attachment 1305795View attachment 1305796View attachment 1305797View attachment 1305798View attachment 1305799View attachment 1305800View attachment 1305801View attachment 1305803View attachment 1305804View attachment 1305805
Not sure, lipo nyuma tu ya Aura MallWalker lile jengo refu pale lina gorofa ngapi?
View attachment 1305831
Si mwambieni aje tuonane hata nimtoe out 😂😂Bwaaaahhh nilikuambia ukitia guu Kenya tu ndiyo mwisho wa kumuona VIKING23 aka JANEROSE kapotea tangu ajue upo kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
25floors ziko mbili hapoNot sure, lipo nyuma tu ya Aura Mall
25 floors each ziko mbiliWalker lile jengo refu pale lina gorofa ngapi?
View attachment 1305831