Huko ni ushago. Uko ndio umezoea kukaa, I thought you were in Milimani, Riat, Tom Mboya, Mamboleo ama Arina Estates. Ndio maana unapita kwa slums[emoji23][emoji23]Siko town kwa sasa niko huku maeneo ya daraja mbili kama unaelekea yala mbona muna waswas sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siko town kwa sasa niko huku maeneo ya daraja mbili kama unaelekea yala mbona muna waswas sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You are still celebrating when a 20 floor building is getting built? In this era surely? Kuna nyumba za 20 floors zinajengwa Nairobi na Mombasa mingi na hutaona tukipiga nayo kelele hapa.Hio lazma itakua ni jengo la maana tena la gorofa zaidi ya 20 [emoji111][emoji111][emoji111]
Hta wewe pia unalinganisha tanzania na slums[emoji1787][emoji1787]Boss, leo umenyoosha watu. Taxi za baiskeli kwenye the third city [emoji23] [emoji23] [emoji23] + slums kama zote yaani[emoji23][emoji23][emoji23] I wish mwezi wa pili nilivyokuwa nairobay na mimi nigefanya tourism ya slums. Nikirudi lazima nifanye wacha sasa tuenjoy hizi zako.
Waza utakavyoHta wewe pia unalinganisha tanzania na slums[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji115][emoji115][emoji115]Wivu tu...watu walitoka kitambo hko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nguzo za miti karne hii aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uvivu uwe unapitia comments za wakora wenzioAliyasema kisumu hakuna nguzo za miti ni nani? We said they are being replaced with concrete ones na sio kisumu peke yake bali maeneo karibu yote Kenya
[emoji115][emoji115][emoji115] ni mtumwaPoint of correction. It's English not english. No wonder you write broken English!
Achana nae tuendelee na cndano uku tukitumia lugha yetu adhimu KISWAHILII know you very well mr EXCUSE!!
A typo!!.. wha a f..
N asithubutu,hao jamaa wenyewe kwa wenyewe tu hawapendani,ndio watampenda mbongo anayewaumbua hapaNilitaka kumuambia hivyohivyo asiamini Mungiki kwa jinsi walivyo-jam!
Kweli kijana naona umeshaishiwa swagaNamaanisha hamna kitu nje zaidi ya hzo zenu tano..
Km vile bugando, mlongazila nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namimi niko njiani kuja kuongeza nguvu, mwambie @ Teargass tuonane kesho jioni tuburudike na chang'aa ...
View attachment 1302871
Sasa wewe unataka watz tupige picha Mali za jubilii na Kenyatta Na wazungu,wahindi ,wachina Nairobi siyo Mali ya wakenya isipokua slum tu,sisi tunataka kuona maisha ya wakenya Wa kawaida
Subiri mwakani hakuna cha Kenya wala Nigeria wala Ethiopia ndani ya miaka minne tu tumeshakuwa wapili au watatu Africa katika sekta ya afya na mwakani sekta ya reli na ndege lazima sauth afrika na Kenya na Ethiopia watajuta kutujua tzKutozoea ujenzi ni mbaya kweli. All of Tanzania imekuwa na planned building moja hatupumui, sasa ingekuwa nyinyi ndio mko Kenya ama Ethiopia penye most buildings is in excavation stage si mngeruka hadi binguni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ushahidi kuwa wakenya awapendi kujulikana wapi wanaishi sasa ichoboy kuonyesha wapi wakenya wanaisbi imewaumiza sana wakenya ,mkenya kukukaribisha kwake ni mwikoHuko ni ushago. Uko ndio umezoea kukaa, I thought you were in Milimani, Riat, Tom Mboya, Mamboleo ama Arina Estates. Ndio maana unapita kwa slums[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna picha umepiga jamaa wamepandikizana kwenye baiskeli wanakutizama wanatisha balaa inabidi niitafute niwaulize wakina komora usalama wa hizo sura[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] panatisha hatari
Heheeee...malizia tu useme hivi, tunaogopa vile ni mali ya mabeberu...mkipiga picha mtaonekana mmezidiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa wewe unataka watz tupige picha Mali za jubilii na Kenyatta Na wazungu,wahindi ,wachina Nairobi siyo Mali ya wakenya isipokua slum tu,sisi tunataka kuona maisha ya wakenya Wa kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mko juu mazee...tanzania si imeendelea kushinda slums za kenya[emoji1787][emoji1787]