Nairobi hatachukua picha because atapitia Wayiaki way, Uhuru highway and Mombasa road and those are proper areas that can't be matched by any neighborhood in Dar.Jamaa katoka hotelini direct mpka kaloleni eti kupiga picha za slums kufurahusha wenzake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hta nairobi pia akirudi ataogopa kuchukua picha, na akileta basi ataleta za slums...
Nakuapia mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkicc Will be a game changer in EA ..intial designs. Ilikuwa na Capacity ya 7500 for major hall na 2500 auditorium.I hope watajenga tower ya maana! Na mpango wa Mt Kilimanjaro international convention center upo mbioni maana last time I checked ilikuwa hivi!
Angalia mwaka mpya usipite Kwa slum wana sherehekea kwa kurusha fly toilet Gari litapigwa na kinyesiAhahha bado nitapita pale stage ndio zimejaa [emoji1787][emoji1787]
Sanaa mkuu [emoji23][emoji23]Kumbe hii group nikiondoka mm kidogo hua inapoa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa jinsi Arusha ilivyo quality hotels n city proximity to major national parks n regional n global institutions within Arusha n Nairobi where aside TANAPA, ESAMI, NMAIST, MSTCD, FZS, EAC, PAPU, African Human Rights court, UNON n UNEP zipo nadhani it is high high time for this project to start! They should consider at least a hall with 10,000 people capacity!Mkicc Will be a game changer in EA ..intial designs. Ilikuwa na Capacity ya 7500 for major hall na 2500 auditorium.
I hope hizo plans zinaendelea...vizuri ..na itajengwa vizuri iishe..nikiangalia projects za Nssf za Mzizima na 5 star hotel ya mwanza zinavyoeenda slow..nasikitika sana...zingekuwa done by now
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari imekosewa..ni Arusha sio DarSo inajengwa Dar na si Arusha? Kwanini? Tumuamini naani?
Bwaaaaaahhh Leo komora kachukia !!!!! Msimpige na zile kitu munaitaga flyiiiii asije kurudi bongo ananuka maviii naona Leo janerose kapotea baada ya ichoboy kuingia kenyaJamaaa mjinga, hta nmepuuza post yake..
Hii ndio shida ya watanzania, hutaka kulinganisha slums na kwao...
Yani hta nimecheka sana, katokea hko kwote alikotoka kaamua kuanza kuchukua picha alipofika kaloleni slums
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi hapa kunamkenya wa jf yupo hapa kwenye huu Uzi alisema uwanja wa ndege wa tz ni zaidi ya jkia nikamkumbusha mapema asisahau kupiga picha slum hadi Leo kashindwa hivyo wakenya kubalini MNA maisha duni sana nyinyiEeeeee!!haifai kwa sababu mwenzako kaenda kuchukua picha maeneo duni..
Tukitumia hicho kigezo, basi hata dar sio city manake 70% ni uswazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tungojee wakati ukiwadia
Uswazi kuna totozi Kali kishenzi usije subutu kuja utaishia kufuata mademu tuHku wakati slums za kisumu zipo fresh hata kuliko uswazi[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
lwiva bado cku ngp vilee[emoji23][emoji23]Bwaaaaaahhh Leo komora kachukia !!!!! Msimpige na zile kitu munaitaga flyiiiii asije kurudi bongo ananuka maviii naona Leo janerose kapotea baada ya ichoboy kuingia kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Teargass njoo sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1302153View attachment 1302154View attachment 1302155View attachment 1302156View attachment 1302157View attachment 1302158View attachment 1302159View attachment 1302160View attachment 1302161View attachment 1302162View attachment 1302163View attachment 1302164View attachment 1302165View attachment 1302168View attachment 1302169View attachment 1302170View attachment 1302171
Kitu in the ground plz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1302341View attachment 1302342View attachment 1302343View attachment 1302345View attachment 1302346View attachment 1302348View attachment 1302349View attachment 1302350View attachment 1302351View attachment 1302353View attachment 1302354View attachment 1302355View attachment 1302357View attachment 1302358View attachment 1302359View attachment 1302361View attachment 1302362View attachment 1302363View attachment 1302364View attachment 1302365
kabisa wanazingua sanaMkicc Will be a game changer in EA ..intial designs. Ilikuwa na Capacity ya 7500 for major hall na 2500 auditorium.
I hope hizo plans zinaendelea...vizuri ..na itajengwa vizuri iishe..nikiangalia projects za Nssf za Mzizima na 5 star hotel ya mwanza zinavyoeenda slow..nasikitika sana...zingekuwa done by now
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kusema ukweli hamna mtu anaweza ku-invest fedha est. over $20 bln kujenga daraja la 30km kati ya Dar na Zanzibar, so far no economic prospects. Labda Dar iwe Shenzen flani ikipewa backup Bagamoyo port (scrapped already) n it's SEZ na Zanzibar iwe Macao ama Hong Kong flani! Hilo litawezekana miaka 50 ijayo! Ama mafuta yagundulike!Dah hadi raha hili daraja likijengwa itakuwa bomba sana Tungojee wakati ukiwadia
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyasema kisumu hakuna nguzo za miti ni nani? We said they are being replaced with concrete ones na sio kisumu peke yake bali maeneo karibu yote Kenya[emoji16][emoji16]
eti hatutumii nguzo za miti [emoji16][emoji16]
angalien hio pork butcher yao [emoji16][emoji16]
eti kisumu hakuna usafiri wa baiskeli
hii picha imewaibisha wakenya wote
View attachment 1302439
Anaweza akawarekodi kabisa waki-bargain kumaliza ubishi![emoji16][emoji16][emoji16]
zinamsubiri Ichoboy wapate hela ya kula [emoji16][emoji16]
View attachment 1302442
Hata mm sijui ngoja tumuulize komora ila sikuizi hataki kusema siku zimebaki ngapi naona wanaogopa
How do people survive in the house like this na hili jua dah aisee
Hii ni slum ingine inaitwa nubianiView attachment 1302383View attachment 1302384View attachment 1302385