Tutajie mtu aliyetekwa mwaka huuKuliko sisi? R u high on miraa? Mention one building that collapsed in Dar in the past 4 years! So Una uhakika 2020 majengo Nairobi hayatadondoka? [emoji1787] [emoji115]
Watu bado wanatumia nguzo za miti[emoji1787][emoji1787]You've always said how much you know Kenya very well. Kumbe ni maneno tu [emoji848]
Sisi sio kama nyinyi mnaopiga kelele kama chiriku kwa vitu vidogo vidogo Kama hizi
View attachment 1302050View attachment 1302051View attachment 1302052Kenya Power’s shift to concrete poles leaves tree growers in limbo
According to KWPA Chairman George Ali, operations of the remaining 36 are in limbo.www.google.com
Unlike in Kunyaland where they rip apart every chance to milk ur SGR in Tanzania they come to spend their chingching! Now aside a bed per night we will chop their airfare, their expenditure on souvenir plus their stay in Tanzania! They will no more come to Tanzania via Kunyaland! Compris mon Ami? Compreendao meu Amigo?I though hamtegemei waChina? our very wealthy neighbors. Kwanza umekuwa wapi? CCM hawakulipa za Christmas? weka number data ikiisha nakuskumia kitu
Wivu tu...watu walitoka kitambo hko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado Kenya inaendelea kuagiza nguzo za UMEME toka Tanzania, hizo za zege kwasasa ni kwa ajili ya "High voltage lines", Kenya tunaijua vizuri sana, tumeitembea sana kuliko ninyi wenyewe, acha kutudanganya. Unajua vigezo vya kutumia nguzo za zege au unapiga kelele uonekane mjuaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa soda kaka, naja kulipa...Sizungumzii ubora wa majengo yanayojengwa Nairobi au Kenya kijumla
Na wala sizungumzii kuhusu kubomolewa nyumba Morogoro Road kuanzia Kimara hadi Kibamba wala jengo la Tanesco, la hasha
Hapa nazungumzia hatuna sheria za maana za kukomesha ujenzi wa makazi holela kama haya yaliyopo Manzese, Tandale, Mwananyamala, Mbagala, Tandika, Keko n.k
Ni vile kila mtu akipata pesa ananunua kiwanja anajenga bila kufuata utaratibu wowote wa mipango miji, hili nchini kwetu ni tatizo
Hali ni tofauti na Kenya, penye ukweli lazima tuseme hizo slums wako nazo wana hali ngumu kweli kuliko hizi sehemu zetu za uswazi... Nyumba zilizopo uswazi kwetu ni bora kuliko zilizopo kwenye slums zao
Ila ukitoka nje ya hizo slums hukuti typical character za akina Manzese, Tandale, Tandika na Keko zaidi ya kukuta Estates na Gated Community za maana
Issue ya makazi kwao nyang'au ziko serious sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kisumu haifai kuitwa city wallah mji uko hvyo huu sijapata kuona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
WATALII 500 KUBEBWA NA AIR TANZANIA KUTOKA CHINA KUJA TZ
Tatizo ni kwamba hamtaki kuambiwa ukweli, hata na Watanzania wenzenu. Mwishowe mnawatusi na kusema sio wazalendo. Don't be a slave to patriotism. Don't be blinded by itHivi wewe unazungumza nini?, Magufuli amevunja NYUMBA na jengo refu la serikali pale Ubongo hadi wamarekani wamelalamika.
Acha kujiabisha kwa kuzungumza mambo kwa ushabiki. Kama kuna nchi hapa barani Afrika ambayo sheria za ujenzi hazifuatwi, Kenya inaongoza. Huna aibu eti unaipongeza Kenya Kenya kwamba wapo serious?, are you mad?.
Kenya majumba yanaporomoka kila wiki na kuuwa makumi kwa mamia ya wakenya, bado unasema wako "serious", hivi wewe kichwa chako ni timamu kweli?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kongole Kwa kuongea ukweli ila usishangae ukivamuwa na wenzako kwa kusema ukweli. Jitayarishe kwa kuitwa kila aina ya jina for saying what you have saidSizungumzii ubora wa majengo yanayojengwa Nairobi au Kenya kijumla
Na wala sizungumzii kuhusu kubomolewa nyumba Morogoro Road kuanzia Kimara hadi Kibamba wala jengo la Tanesco, la hasha
Hapa nazungumzia hatuna sheria za maana za kukomesha ujenzi wa makazi holela kama haya yaliyopo Manzese, Tandale, Mwananyamala, Mbagala, Tandika, Keko n.k
Ni vile kila mtu akipata pesa ananunua kiwanja anajenga bila kufuata utaratibu wowote wa mipango miji, hili nchini kwetu ni tatizo
Hali ni tofauti na Kenya, penye ukweli lazima tuseme hizo slums wako nazo wana hali ngumu kweli kuliko hizi sehemu zetu za uswazi... Nyumba zilizopo uswazi kwetu ni bora kuliko zilizopo kwenye slums zao
Ila ukitoka nje ya hizo slums hukuti typical character za akina Manzese, Tandale, Tandika na Keko zaidi ya kukuta Estates na Gated Community za maana
Issue ya makazi kwao nyang'au ziko serious sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kusahau picha zimepigwa na iphone 11 pro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ikisaidiana na samsung s10 plus ili kuhakikisha hakuna kitu hakionekani
View attachment 1302192View attachment 1302199
Kawaulize hao Wb watakuambia vizuri tu.Bwahahaaaaa!!tatizo world bank na UN zinasema tofauti danganyika...
Ukwel ni kwamba mnaongoza kw idadi ya maskini EA
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂 panatisha hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]live bila chenga, Noma sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unafahamu historia ya china na Tanzania?I though hamtegemei waChina? our very wealthy neighbors. Kwanza umekuwa wapi? CCM hawakulipa za Christmas? weka number data ikiisha nakuskumia kitu