If the 2 sq km of kibera ndio inawasumbua akili poleni......Kenya on average is way developed than more than 40 African nations......Only Egypt Algeria SA nigeria and perhaps Morocco are better than us.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejaa upepo. Ni kichekesho watu wenye uchumi wa kati kuishi humu. Then how many slums do you have? Mwisho wa siku zaidi ya nusu ya watu wa nairobi wanaishi kwenye slums.
Sent using Jamii Forums mobile app
