kifusi boy
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 1,141
- 1,752
Bro, this place is Manzese ni sehem ya watu wa hali ya chini kabisa kwa Dar kwahiyo sijui unataka paweje....Yes....i agree.who can oppose these high quality dreamhouses of dar slumView attachment 1288112
Hii ni Upanga mzee barabara ya Umoja wa Mataifa kabla hujafika Salender bridgeHii picha ulileta si Masaki?
View attachment 1288113
That's Upanga at United Nations Road beside ni Al Muntazir SeminaryNdio maana nikakwambia wewe ni fala sana hio ni msasani bwege wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajifanya kila kitu unakijua kumbe nduza tu na masaki yenyewe ni kubwa sawa na Mombasa yote
Mbona mnaleta random pictures halafu mnapaita Dar? Mmeshindwa sana mpaka mnattempt fraud?Hata spenso tunataka kupajuaView attachment 1288196
Acha ujinga ww hamuwezi compete urefu wa lami na Dar huku kuna lami mpk uswahilini ukiendelea kubsha ntakuaibisha mchana kweupeeeLami nayo huko kwenu ni nadra
Hii ni kigamboni budaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1288151View attachment 1288152View attachment 1288153View attachment 1288154View attachment 1288155View attachment 1288156View attachment 1288157View attachment 1288158View attachment 1288159View attachment 1288160View attachment 1288161View attachment 1288162
Vicky bhn[emoji23][emoji23][emoji23]That was tarmacked kitambo sana.....
Estate cloud....southern bypass View attachment 1288200
Huyo ni mwanamke mbona unamwita broBro, this place is Manzese ni sehem ya watu wa hali ya chini kabisa kwa Dar kwahiyo sijui unataka paweje....
Af kingine sehem kama hizo na Tandale, Mbagala, Tandika, Keko n.k huwa zipo ovyo lakini ndani yake kuna watu pia wa kipato cha kati where utakuta nyumba za maana katika hayo maeneo
Hii ni kigamboni budaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1288151View attachment 1288152View attachment 1288153View attachment 1288154View attachment 1288155View attachment 1288156View attachment 1288157View attachment 1288158View attachment 1288159View attachment 1288160View attachment 1288161View attachment 1288162
hata ile ni masaki kijana wacha longolongo. Masaki yenyewe apartments kila mahali kama Kilimani au Hurlingham ndo mnalinganisha na Karen, Muthaiga, Runda, Kitusuru, Gigiri, Lower kabete and the rest!
Jidanganye tu kijanaDefinition ya watanzania ya high class suburb is totally different from Kenya, wao mtaa kama masaki ni creme de la creme ya Dar., hapa Nairobi hiyo ni level ya Harlingham or Kilimani.,na bado haifikii Kilimani., coz haven't seen pictures za Kilimani kwa internet., hiyo area u can't just take photos, th ones I see posted in the internet ni few selected areas.,
I love this debate imefanya nimewajua watanzania kimawazo. I know Tz economically and infrastructural. Mtu hanidanganyi humu.
Yule bwege ulimdaka patamu π π π Kaingia kwenye anga zisizoUlitaka kujua siku zote unauliza kama ndugu yako alivofanya nikamuaibisha hapaππππ
Hapa sio masaki we jamaa upanga hyoHii picha ulileta si Masaki?
View attachment 1288113
Finishing za flats zenu hazikovizur!!Haitaki nguvu nyingi.....Nairobi is dopeView attachment 1288067
Hapo UpangaHii picha ulileta si Masaki?
View attachment 1288113
Hapana ndugu hii mbona ni Seaview pale karibu na Selander bridge Geza hebu iangalie vizuri tenaNdio maana nikakwambia wewe ni fala sana hio ni msasani bwege weweπππππ unajifanya kila kitu unakijua kumbe nduza tu na masaki yenyewe ni kubwa sawa na Mombasa yote
Tunajua Mombasa haifiki hata $10B jilishe upepoThe Mighty Mombasa.....the 2nd most developed city in East Africa After Nairobi....
GDP $19 billion View attachment 1288120
Upanga hio mkali