Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umewezwa! Si unyamaze tu! Sio lazima useme!! Hahahaha!
ikulu yenu yakizembe sana huwezi linganisha na hii yetu....ikulu ya tanzania ni jumba zuri la mfalme ikulu yenu ya kenya ni nyumba muundo wa dispensary yakipuuzi sana...[emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kama dispensary ya kolomije[emoji2] [emoji2]
ha haa umeona eh eti nao wanajivunia kama wanaikulu......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wakati muundo wa dispensary.....ikulu ya kenya ni banda la mbuzi.......raisi hapaswi ishi mule
 
Foleni zinaboa sana,au imekua kitu cha kujivunia?

Hua nashuhudia foleni kutoka mbezi hadi mwenge usawa wa km 3 hv apa Dar, zinapoteza muda na fedha tu
Mambo yanapangwa hapa Nairobi kutoa hizo foleni kwa miaka mbili ijayao
 
Mambo yanapangwa hapa Nairobi kutoa hizo foleni kwa miaka mbili ijayao
Huwez kumaliza foleni kamwe,foleni iwe inasogea tu,watu wanazidi kuagiza magari,madereva wengine wazembe mno ,barabara Ni zile zile kumbuka,apa mjn kwa upande wa BRT walicheza vyema sijui mko na mpango gani hasa upande wa buses

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Tanzanian state house
Kenyan statehouse
Mwachage arguments za kipuuzi wasee
unapoambiwa ikulu ya tanzania ni kubwa kuliko ya kenya achaga ubishi wa kijinga.....mzee wa iphone hiyo yote unayoiona ni ikulu na bado sehemu nyingine hatujakuonyesha na hayo majengo unayoyaona yameshikana ....hako kaikulu cha kenya ni kadogo mnoo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…