Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Looks funny.....watermelon carpet
Sasa mbona umepanic buda๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Chukua hii basi futa machozi plz๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
IMG-20191209-WA0058.jpg
 
Hizi nyumba za mabati madirisha red umerudia kutoka kurasa ya nyumba. Hakuna nyingine ya kutuonyesha? Leta hata zile dream houses basi
Anhhh bro inamaana sasa unathibitisha kua umekasirika๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
We were talking about gated communities. usharuka hadi huku?
Sawa basi endelea
NB: These are just ordinary estates in eastlands View attachment 1287247View attachment 1287248View attachment 1287251View attachment 1287252
Tanzania watu hujenga vile mtu anataka sio nyinyi anakuja investors wanajenga kazi yenu ni ku rent kwenye same house designed by investors hata kama choo iko sitting room itabidi uishi kwasababu huna njia ya kubadilisha ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
That's why you have dream houses all over the place. Mji wenu hauna mpangilio kwa sababu mtu anajenga atakavyo mahali popote.
 
Back
Top Bottom