Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkiduwaa tu hivyo mtabaki nyuma tu.....Kenyans work smart despite the shitty government. Hatungojei uzinduzi na kutegemea serikali 100 percent.
Saccos pia are doing wonders in Kenyan lives.
Kenyans are industrious people. We don't get spoon fed like some lazy neighbours I know. They keep talking about "mwakani" but they don't realize the gap between us is getting even bigger. We were only $9 ahead of them ten years ago. The gap is now $37b. Some dreams are not valid at all!
 
These guys though.....how can we be poor when we can afford to chop money in bongo.smh.
Chuki wivu na fitina ndio shida ya tanzanians
Wanasahau we are the biggest stakeholders in Tanzania's tourism sector. Lakini hapa these guys have selective amnesia
 
Rwanda and DRC business barely make-up 5% of our transit goods.

Wanasahau we are the biggest stakeholders in Tanzania's tourism sector. Lakini hapa these guys have selective amnesia
Hivi umepita twitter ukaona namna wakenya wenzako wanavyolia kuhusu hilo dili 😂😂😂
 
Hahaha Nairobi has 95% piped water....ama you are dwelling on that time ya ukame yenye kulikuwa na water rationing. Daresalaam nayo 70% wanategemea kisima coz of the unplanned nature of the city that makes it impossible to connect pipes. Don't lecture us about water whereas your backyard is way way worse
unajitamba maji Kenya pita kule uone hata Nairobi haina maji! Wacha ujinga!
 
Hahaha Nairobi has 95% piped water....ama you are dwelling on that time ya ukame yenye kulikuwa na water rationing. Daresalaam nayo 70% wanategemea kisima coz of the unplanned nature of the city that makes it impossible to connect pipes. Don't lecture us about water whereas your backyard is way way worse
which Nairobi hiihii? labda umemaanisha 95% with floods! 😀 😀 😀

Kama ulikuwa utaki wasifuatilie habari zenu mngezifungia msingekuwa mnazitangaza
Zinatangaziwa wakenya, not bongolalas. Just the same way zenu pia hutangaziwa Watanzania which explains why we don't even bother to watch them
 
Back
Top Bottom