Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzanians jameni......wacheni niwasaidie.
Screenshot_20191208-172302_Opera%20Mini.jpeg
 
Mkiduwaa tu hivyo mtabaki nyuma tu.....Kenyans work smart despite the shitty government. Hatungojei uzinduzi na kutegemea serikali 100 percent.
Saccos pia are doing wonders in Kenyan lives.
Work smart kwenye nini 😂😂😂
Work smart ya kutegemea chakula cha misaada.
 
Hivi hujui hata mimi Naweza nikatengeneza website nikaandika ujinga kama huo alafu nikapublish then ukiingia google Search unaikuta 😂😂😂
Tanzanians really amaze me. So you don't even know how google functions yet you mention with so much confidence! Google gives first priority to credible information. You can't just wake up one morning and write some misleading information just because you have a website and expect to get good ranking on Google. It doesn't work that way bongolala. Useful and credible information comes first, coupled with good keyword use and placement.
 
Unafahamu SEO?
 
Kwale, Kilifi, Tana River, Hola, Lamu, Taita–Taveta, Mwatate, Garissa, Wajir, Mandera, Turkana, Pokot, Masabit, Isiolo

Hizi counties masikini wa kutupwa ambao ni food poverty level, don't talk about infrastructures because it's a joke, juzi tu ndio wamepitisha kabarabara Isiolo lakini na yenyewe haina traffic sababu hakuna wenye uwezo wa ku afford a motorcycle wameshazoea punda na ngamia sababu ya umasikini uliotopea

And these counties make 70% of the whole Kenya
Hola county? 😂
Mwatate County? 😂
Pokot county? 😂
Hizi counties zinapatikana wapi?
 
Where did you get those statistics from? Ama unazitoa tu kichwani?

Kenya has the highest electricity access rate in East Africa

Kenya achieved 52% universal health coverage in 2014 (the figure is definitely high now). How much has Tanzania achieved?

Kenya has 9,273 kilometres of paved roads, again the highest in the region

59% of Kenyans have access to clean drinking water compared to 57% in Tanzania

Stick to your lane bongolala
Inakuhusu
 
Unafahamu SEO?
I can tell you so much about SEO than you already know. SEO goes hand in hand with quality article writing. You can't just write a poor or misleading article, optimize your search engine and expect to gain anything. Good ranking comes with good quality, not jusKeyword placement
 
Kwani hiyo 5.7% umepigia ya miaka mingapi?
Sasa hili ni swali gani tena?, nimeeleza kila kitu hapo.
1) 2015 .... $63B
Tafuta 5.6% ya 63. Ukiijumlisha na 63B, utapata GDP ya 2016.

Kwa haraka haraka, 5.6% ya 63 ni 3.8B, kwahiyo 63,+ 3.8 = 66.8B.

Kwahiyo 2016 GDP = $66.8B

Ukiendelea hivyo hadi 2018, GDP ya Kenya haizidi $75B
 
I can tell you so much about SEO than you already know. SEO goes hand in hand with quality article writing. You can't just write a poor or misleading article, optimize your search engine and expect to gain anything. Good ranking comes with good quality, not just SEO
Sasa kama Unafahamu SEO ni nini, nini kimekufanya uandike pumba hapo juu,
Hii Umeingia google ukagoogle haraka haraka 😂😂😂 ndio maana ulicho andika hapo juu ni pumba tofauti na hapa.
 
Sasa hili ni swali gani tena?, nimeeleza kila kitu hapo.
1) 2015 .... $63B
Tafuta 5.6% ya 63. Ukiijumlisha na 63B, utapata GDP ya 2016.

Kwa haraka haraka, 5.6% ya 63 ni 3.8B, kwahiyo 63,+ 3.8 = 66.8B.

Kwahiyo 2016 GDP = $66.8B

Ukiendelea hivyo hadi 2018, GDP ya Kenya haizidi $75B
Mimi nimeanzia na GDP ya mwaka jana nkajumlshia na 5.7% ndo nkapat $92bn
 
That is kakamega town a small town but abit well planned so tanzanians stop your lowly rantings
 
Mimi nimeanzia na GDP ya mwaka jana nkajumlshia na 5.7% ndo nkapat $92bn
Ulianzia na "wrong figure" ndio sababu umepata "wrong answer".

Wakenya wote wanakubali kwamba mwaka 2015 GDP yao ilikua ni $63B, pia wanakubali kwamba toka mwaka 2015 hadi 2018 wastani wa kukua kwa uchumi wao ni 5.6%, jambo la kushangaza wanasema GDP yao kwa mwaka 2018 ni $90B. IMF imesema sana kwamba wanapika taarifa za uchumi wao ili kuvutia wawekezaji na kupata mikopo.
 
Back
Top Bottom