babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,456
- 36,108
Unakumbuka miezi michache iliyopita mafuriko ya Dar mkawa mnaongea ujinga tukawaambia natural calamities hutokea popote then tulileta hadi picha za mafuriko ya ulaya mkawa mnabisha huku mkijisahau kuwa mvua bado haikuanza kunyeesha NairobiNishakuletea thibitisho kwamba Dar kulitokea Mafuriko May mwaka huu but you brushed them off saying tuko December. What else do you want? About miundombinu nishawaletea hadi picha za Mafuriko Paris which is a developed City. Having good infrastructure doesn't mean you can't experience such problems
Hata mimi sijawahi ona kama hiikwa kweli sijawahi ona jiji kama hilo yaani nairobi kila kona ni beach rain tu. . huu upumbavu wa wakenya kwa kweli ni wa hali ya juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Us we don't live in denial. Hakuna mkenya anapinga kuwa baadhi ya sehemu Nairobi imefurika. Ila nyinyi mnaishi mkipinga kila kituUnakumbuka miezi michache iliyopita mafuriko ya Dar mkawa mnaongea ujinga tukawaambia natural calamities hutokea popote then tulileta hadi picha za mafuriko ya ulaya mkawa mnabisha huku mkijisahau kuwa mvua bado haikuanza kunyeesha Nairobi
Kuweni humble wakenya πππ
Ilitokea lini hii πππ
Hahahah nakuambia tena,Us we don't live in denial. Hakuna mkenya anapinga kuwa baadhi ya sehemu Nairobi imefurika. Ila nyinyi mnaishi mkipinga kila kitu
Hawez kukwambia trust me ππππIlitokea lini hii πππ
Wewe ni mjinga sana. Are you not the same bongolala ameleta picha ya tweet about flooding killing 130 people in Kenya? Is Kenya found in Nairobi?So morogoro and tanga ziko dar siku hzi??? Na kumbe ni 11 only
Unajua unapoelimishwa elewa nimekwambia Tanzania hakujawah tokea mafuriko kuuwa watu wengi kiasi hicho over 150 people hili ni janga kubwa sana la taifa hope umeelewaWewe ni mjinga sana. Are you not the same bongolala ameleta picha ya tweet about flooding killing 130 people in Kenya? Is Kenya found in Nairobi?
It's clearly written mafuriko na maporomoko. Landslide iliuwa watu zaidi ya 53 West Pokot meaning less than a hundred people have been killed by floods. And why are we talking about this anyway? Human life is precious. Whether it's a million people lost or just one person it's not worth debatingMm nimekwambia tafuta floods Tanzania iliou watu zaidi ya 150
Moja ya comment kwenye ule uzi walioufungua ili kucheka mafuriko ya Dar πππUnajua unapoelimishwa elewa nimekwambia Tanzania hakujawah tokea mafuriko kuuwa watu wengi kiasi hicho over 150 people hili ni janga kubwa sana la taifa hope umeelewa
This year sijaona flood Nairobi,
Especially now naskia kuna mvua mob sana Kenya since last week,
Seems drainage zote zilifunguliwa
Kubali kwamba we were talking about Dar and Nairobi floods hadi ulipoleta hiyo debate ya Kenya. I did not mention Tanzania anywhere kabla utaje KenyaUnajua unapoelimishwa elewa nimekwambia Tanzania hakujawah tokea mafuriko kuuwa watu wengi kiasi hicho over 150 people hili ni janga kubwa sana la taifa hope umeelewa
But but but nyie mlitusema Tazara na pale mto msimbazi kuwa miundombinu yetu mibovuuu, sas mbna hii imewakuta na miundombinu yenu boraa? Au ilikua kiki tuuNishakuletea thibitisho kwamba Dar kulitokea Mafuriko May mwaka huu but you brushed them off saying tuko December. What else do you want? About miundombinu nishawaletea hadi picha za Mafuriko Paris which is a developed City. Having good infrastructure doesn't mean you can't experience such problems
Us we don't live in denial. Hakuna mkenya anapinga kuwa baadhi ya sehemu Nairobi imefurika. Ila nyinyi mnaishi mkipinga kila kitu
πππππYule shosho wa kikunya anayetupostia photoshop hapa na kutuambia Dar kuna mto wenye mamba, kwa hiyo na hii swimming pool ipo Nairobi πππ
Ahahahha nilijua lazma ugeuze matokeoππKubali kwamba we were talking about Dar and Nairobi floods hadi ulipoleta hiyo debate ya Kenya. I did not mention Tanzania anywhere kabla utaje Kenya
Maporomoko imesababishwa na nini elewa swali langu alaf jibu plzqπππππIt's clearly written mafuriko na maporomoko. Landslide iliuwa watu zaidi ya 53 West Pokot meaning less than a hundred people have been killed by floods. And why are we talking about this anyway? Human life is precious. Whether it's a million people lost or just one person it's not worth debating
Lazma waende choo at our mercy n courtesy mwaka kesho! We'll continue to feed them!Maskini MLDC sasa wasubiri misaada ya chakula