Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kutumia ubongo kama bakuli. Mafuriko hutokea wakati wa mvua. Hata mwaka huu mafuriko yaliripotiwa Dar
Sasa hatujapata mafuriko kipindi hichi na unajua sasa hvi kuna ukarabati mkubwa sana wa mto msimbazi na mtoto mingine au hujuiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unaeza sema uko Darfur kumbe upo CBD nairobiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
So unapotudanganya hapa munayo better infrastructure hua tunakuangalia unajiona umepatia sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
haifanani na yenu yakuingia kwenye maofisi hadi hospital[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna aliyekataa kuwa kuna natural calamities,
Huwa mafuriko yakitokea Dar huwa mnafungua nyuzi zenu za kijinga na kusema kuwa Dar kuna miundombinu mibovu alafu tukiwaambia ni natural calamities huwa hamkubali,
Leo mafuriko kila kona Nairobi ndio unakubali kuwa kuna natural calamities πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
haifanani na yenu yakuingia kwenye maofisi hadi hospital[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona sasa umechange gear hewani. Haya basi Nionyeshe ni wapi Nairobi Mafuriko hufikia hii level

Swali ni Je, hospitali na ofisi hizi maeneo yakoje?
 
So unapotudanganya hapa munayo better infrastructure hua tunakuangalia unajiona umepatia sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Yes we have better infrastructure than Dar is slum. That's a fact. But that doesn't mean we are immune to natural calamities. Paris has a million times better infrastructure than Nairobi but still suffers the same wrath of nature when it comes calling. Halloooo bongolala! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Better roads ndio hzo au??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…