Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi barabara hazifungwi km hko kwenu, wacha ubishi wa kijinga..
Drainage iko poor lkn haiweki maji kw mda mrefu vile km hko kwenu...

Hadi magari ya brt huaga hayafanyi kazi
aliyekuambia huku maji hukaa mda mrefu ni nani..?...

na kaa ukijua sehemu ambayo hujaa maji ni hapo tu kwenye mto msimbazi na hiyo yote kwa sababu ya mto na maji yenyewe hujaa katikati tu ya huo mto.......
 
Unaangaika kumjibu huyo mbu mbu mbu anayelazimisha na mwenzake eti Dar kuna mto wenye mamba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mkuu,usisumbuke kuijadili ile picha.....we ipotezee
 
aliyekuambia huku maji hukaa mda mrefu ni nani..?...

na kaa ukijua sehemu ambayo hujaa maji ni hapo tu kwenye mto msimbazi na hiyo yote kwa sababu ya mto na maji yenyewe hujaa katikati tu ya huo mto.......
Mto Msimbazi ndani ya cbd πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mm nataka unioneshe ubaya wa hzo pic yani unamaanisha kwamba ni slum au??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ni wapi nimetaja neno slum? Mbona unajishuku kijana wa Tandale? So ni wewe ulisema kwamba picha nilileta ni zaa 22 years ago?
 
Labda uniambie we ubaya wa hzo pic tena ni magorofa yaliopangika vzr sana hehe wewe tatizo laki unahangaika bure tu na nishakwambia punguza mihemkoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…