Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku ile ilikuwa kama tupo MGM grand arena las Vegas,nevada
Ila shida yetu ni moja katika michezo,hatuwekezi.. lakini kama viongozi watakuwa na jicho pevu kuona fursa iliyo katika michezo,basi tuko vizuri,watanzania kwa umoja wetu tunapenda sana michezo,yaani siku ile tulijaa ilikuwa raha sana
 
Acha kujisifu na ujinga,unaonekana ni mtu mwenye akili timamu kumbe bogasi tu
 
Jidanganye wewe subili mwakani utajua ujui ndiyo maana sikuizi wakenya mbwembwe za kutukuza kingereza zimepungua sana siyo kama miaka 8 iliyopita ,baada ya kuona wabongo tunapambana na kiswahili chetu bila kujali MTU
Kwn mwakani mnazindua expreesways ngapi[emoji1787][emoji1787]
 
Leo mnashangilia mall na nynyi..si mlisema huaga mnapenda kwenda sokoni, imekuaje tena..

WANAFIKI UTAWAJUA TU[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…