Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutoka Dar to Soga tumetumia treni ya TRL.. it means kuna maeneo bado reli haijajengwa View attachment 1275954View attachment 1275955View attachment 1275956

kutoka Soga hadi before daraja la Ruvu tukatumia treni ya Yapi.. it means reli ya SGR ipo tayar kwa matumizi
View attachment 1275957
View attachment 1275958View attachment 1275959View attachment 1275960

Soga Station... ila walivyojenga hiv stations vidogo wametumia akili sana, hawataka kutumia hela nying kujenga mastations makubwa wakati maeneo kama haya population ni ndogo sana
View attachment 1275964View attachment 1275965

Sehem ya Ruvu kuna madaraja mengi sana yanajengwa

Tutaendelea baadae.. network unasumbua sana huku
Naona cladding inaendelea!
 
Infra View attachment 1276107
tapatalk_1574769569917.jpeg
 
Good. then siku nyingine Usiongee kuhusuu uchumi wa kenya coz n dhahiri kwamba hamjui lolote kuhusu Kenya na uchumi wake
hapo nimeongea mimi kama mimi sio sisi, ndio maana kila mtu anasema wewe kichwa bovu. kutokujua kwangu kwa baadhi ya information huwezi kujumuisha wengine
 
Mo dewji sio mhindi ni mtanzania by birth,hata huyo bakhresa ni mtz,hustle zake zimeanzia pale kariakoo
Kwa nini unashindwa kutofautisha nationality na asili!?..ulisoma shule gani we dogo?
Mhindi siku hz kawa msukuma
 
Kwa hivyo hao watu mnaowaita hapa "wahindi" dunia haijui ni wakenya? Vimal Shah was born in Nyeri, Naushad Merali was born in Nairobi. I can give you a very long list. Ila leo wamegeuka wahindi wanaomiliki uchumi wa Kenya. Nyinyi ni wajinga tu
Leo umewashika pabaya
 
Mo dewji sio mhindi ni mtanzania by birth,hata huyo bakhresa ni mtz,hustle zake zimeanzia pale kariakoo
Kwa nini unashindwa kutofautisha nationality na asili!?..ulisoma shule gani we dogo?
bila shaka ni kibera university. huyo...
 
Kutoka Dar to Soga tumetumia treni ya TRL.. it means kuna maeneo bado reli haijajengwa View attachment 1275954View attachment 1275955View attachment 1275956

kutoka Soga hadi before daraja la Ruvu tukatumia treni ya Yapi.. it means reli ya SGR ipo tayar kwa matumizi
View attachment 1275957
View attachment 1275958View attachment 1275959View attachment 1275960

Soga Station... ila walivyojenga hiv stations vidogo wametumia akili sana, hawataka kutumia hela nying kujenga mastations makubwa wakati maeneo kama haya population ni ndogo sana
View attachment 1275964View attachment 1275965

Sehem ya Ruvu kuna madaraja mengi sana yanajengwa

Tutaendelea baadae.. network unasumbua sana huku
tisha sana mkuu
 
Back
Top Bottom