chakula cha kawaida pale kwa mama ntilie, sielewi unachotaka kutuonyesha. Lakini kumbe nyie watoto wadogo hivi
Walisema bado wapo kwenye mchakato wa kubadili sheria ya kumilikisha mtanzania yoyote mwenye asili aweze kumiliki hata kama si mkaziMuda mwingine serikali yetu inakera sana..sasa Diaspora hawaruhusiwi kununua Nyumba Tz ..ndo nini ..huku si kupunguza investments???....hii sheria waichangeView attachment 1276842
Poleni majirani![]()
![]()
![]()
Kenya Shines on at 2019 World Travel Awards - Nomad Magazine Africa
The 2019 World Travel Awards Africa & Indian Ocean Gala Ceremony held in Mauritius, saw Kenya bagging top awards in various categories. Kenya was also named as the host of next year's Africa and Indian Ocean Gala, boosting it as a leading tourist destination.nomadmagazine.co
Hiyo ni Sera iliyowekwa na baba wa taifa ili kuwalinda watanzania wa ndani. Mtu yeyote ambaye sio raia wa Tanzania, hawezi kumiliki ardhi na Mali zingine za nchi bila kukidhi vigezo vya uwekezaji, au ashirikiane na raia wa Tanzania katika kumiliki hizo Mali za nchi.Muda mwingine serikali yetu inakera sana..sasa Diaspora hawaruhusiwi kununua Nyumba Tz ..ndo nini ..huku si kupunguza investments???....hii sheria waichangeView attachment 1276842
Safi hyo itapanua sector ya real estate sanaWalisema bado wapo kwenye mchakato wa kubadili sheria ya kumilikisha mtanzania yoyote mwenye asili aweze kumiliki hata kama si mkazi
Watabaki watazamaji kama jirani wa BBI ,wazawa wanaishi ktk madongo poromokaHiyo ni Sera iliyowekwa na baba wa taifa ili kuwalinda watanzania wa ndani. Mtu yeyote ambaye sio raia wa Tanzania, hawezi kumiliki ardhi na Mali zingine za nchi bila kukidhi vigezo vya uwekezaji, au ashirikiane na raia wa Tanzania katika kumiliki hizo Mali za nchi.
Mwalimu Nyerere alijua fika kwamba watanzania wa kawaida hawana pesa, akiruhusu watu toka nje kununua bila ya kudhibiti, watanzania watatupwa nje ya uwanja wa kumiliki uchumi, watabaki kuwa watazamaji tu, kama ilivyo "South Afrika au Israel na Palestrina".
Financer- Government of TanzaniaSGR phase two
View attachment 1277187
Ngong road iko wapi?