Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Picha ya kwanza Jangwani, picha ya pili Junction ya DIT. Zawadi yangu mpatie Mungiki mmoja akapoze koo, wanashida sana hawa ndugu zetu




Same as masaki. Apartments kila mahali yet it's Dar's best estate!Hauna akili bro,buruburu kwa watu wa kawaida
Ila kuna watu wajinga kweli kweli 😂😂😂
Mtu anashindwa kutofautisha google Search image na Google Earth 😂😂😂 ndio maana kuna siku walisema kila mtu anaweza kuedit Google Earth nikamwambia thibitisha ulichosema hadi leo hii hajathibitisha😂😂😂
Hajui kuwa hizi picha zinazopostiwa humu ukienda kuzisearch google Search utazikuta.
Beverly hills kuna apartment pia,Uko Muthaiga ndio uzunguni sana?Same as masaki. Apartments kila mahali yet it's Dar's best estate!
View attachment 1273265Kama tunavyo jenga Dodoma.. hivi leo Kenya walivyo kuwa dhoofu ilhali unafikiri wanaweza ata kuwaza swala hilo, wanabaki kuongea tu vitu vidogo vidogo kama konza city, sijui silicon savannah ukienda ground vitu vipo ndani ya sqm 2000 kama plot yangu tuHivi kwa nini Wakenya wanateseka sana juu ya kuendelea kwa Tanzania?!!!.
Ukifikiria sana utaona Tanzania ni unstoppable!!!kuanzia Geographic position, ardhi yenye rutuba, madini,vivutio vya utalii,idadi ya watu tulichokuwa tunahitaji ni uongozi bora tu.Haya maswala ya maghorofa na miundo mbinu ni peanut tu, ukiwa na resources za kutosha na ukazitengenezea mazingira bora unaeza amua hata kujenga mji mpya wa kisasa na ukaumaliza wote.
.Hivyo vyote bajeti yake ndiyo Usd 250m au itaongezeka?Huku wakiifukuzia JNIA, Msalato inatangulia bila mpinzani
Nyie mna unyani mwingi sana yaani unaona raha kuishi hostel....!!Kijana, you can't win in everything. Hata wewe hapo unajua vizuri sana hakuna estate estate Dar nzima ya kulinganisha na Muthaiga ama Karen. Kuna picha ya masaki ulileta hata and I could see so many apartments. Huwezi pata apartments Karen, Runda or Muthaiga
What is an estate without water to wash one's ass!
ninyi ndio mliocopy rangi za Tanzania sababu zimekua zikitumika miaka yote kwe metre gaugeHata color zetu za Kenya railways mlishacopy......smh
UnbelievableHuku wakiifukuzia JNIA, Msalato inatangulia bila mpinzani
Whoever posted that anajua alikotoa hiyo picha ya apartment ndani ya Muthaiga. Huwezi pata!Muthaiga hakuna apartment? ?hizi ni nn
Nyang'au mnapenda uongo sana View attachment 1273276View attachment 1273275