Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nowadays Google earth inaonyesha live live.....hehe
Even their so-called posh estates have uswazi elements in them. Look at the aerial photo of Mikocheni below (one of their best estates). Then you wonder how they even start comparing such estates with Muthaiga or Runda. Hii hapa hata Lang'ata inashinda mbali tena sana
View attachment 1272966
 
Wewe unamatatizo ya akili bila shaka😀😀
 
Ila kuna watu wajinga kweli kweli 😂😂😂
Mtu anashindwa kutofautisha google Search image na Google Earth 😂😂😂 ndio maana kuna siku walisema kila mtu anaweza kuedit Google Earth nikamwambia thibitisha ulichosema hadi leo hii hajathibitisha😂😂😂
Hajui kuwa hizi picha zinazopostiwa humu ukienda kuzisearch google Search utazikuta.

Ahahaha kwahyo huko muithaiga ni kwa wazungu na viongozi wa serikal normal people hamuwez enda? Duh nilikua sifaham kama kenya kuna matabaka hvyo. By the way hapa east africa hakuna sehem luxurious kama masaki, mayb zanzibar, kenya hupati sehem kama masaki utapata sehem za mbezi beach kenya ila sio masaki wala oysterbay
Bwahahaaa!!unafikiria muthaiga ni km masaki mpka akina amber rutty wakijiskia wanaenda
 
Siku ikijengwa terminal yenye kuchukua watu milion 5 hivi + cargo kwenye airport ya Arusha basi Nairobi haitakua na chake. Halafu sijui kwa nini Magu hajaona hili. Unajua Tukiweka Airport Arusha itakayopambana na Nairobi + SGR ya Tanga - A town battle inakua imeisha!
Airport ya Arusha inaongezwa run way na jengo la abiria. Tayari funds iko allocated ni kuanza tu. By mid next year tayari Arusha watakuwa na international airport. Zitapangana, KIA, Arusha na Serengeti.
 
Ahahahah kijana unateseka sana najua umeingia google ukasearch mikocheni ukaingia kwe images ukapata vipicha vya nyumba za watu zinazopangishwa ama kuuzwa, bro hiyo sio mikocheni hzo ni baadhi ya nyumba tu za watu wa level ya kawaida waliopo mikocheni.

Eti hii ndo Muithagi ya kufananisha na masaki jamani,? hata magala inapga chini hii uchafuView attachment 1272995
Screenshot_2019-11-26-10-55-25.jpeg
View attachment 1272999View attachment 1273002
 
Wanasemanga eti Google earth inaonyesha images za ten years ago. Very stupid people!
Watanzania wenzangu hii ndo muthaiga ya wakenya wenye hali ya juu inayoizidi masaki.

Kwakwel bora waishi kwe zile hostel zao mana hawana uwezo wa kujenga. Hizi nyumba za uswazi Tz, kwao ndo kwa watu wazito
Screenshot_2019-11-26-10-55-10.jpeg
Screenshot_2019-11-26-10-55-38.jpeg
Screenshot_2019-11-26-10-56-27.jpeg
 
Ahahahah kijana unateseka sana najua umeingia google ukasearch mikocheni ukaingia kwe images ukapata vipicha vya nyumba za watu zinazopangishwa ama kuuzwa, bro hiyo sio mikocheni hzo ni baadhi ya nyumba tu za watu wa level ya kawaida waliopo mikocheni.

Eti hii ndo Muithagi ya kufananisha na masaki jamani,? hata magala inapga chini hii uchafuView attachment 1272995View attachment 1273004View attachment 1272999View attachment 1273002
Sio vibaya kuwa mzalendo ila kitu mbaya ni uvutaji wa bangi. Masaki ndio hii hapa imejaa apartments kushoto kulia. Ukipata apartments Muthaiga, Runda ama Karen, Rudi tuongee. Hii Pengine mlinganishe na Lavington ama Kileleshwa
PhotoGrid_1574755534459.jpg
 
Ahahaha kwahyo huko muithaiga ni kwa wazungu na viongozi wa serikal normal people hamuwez enda? Duh nilikua sifaham kama kenya kuna matabaka hvyo. By the way hapa east africa hakuna sehem luxurious kama masaki, mayb zanzibar, kenya hupati sehem kama masaki utapata sehem za mbezi beach kenya ila sio masaki wala oysterbay
asante sana kw kujipa matumaini...
Appartments kibao
Picha uliyotuma si inakaa hv
tapatalk_1572715939771.jpeg
 
Back
Top Bottom