Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

.
FB_IMG_1574673138153.jpeg
FB_IMG_1574603707117.jpeg
 
Hawa wenzetu ni washamba sana. Watanzania wapo na freedom kujenga nyumba wao wenyewe.
But Kenya nyumba zote ni za mama Ngina
Mjini ni pa biashara jomba, ukitaka kuona majumba nenda vijijini..utashangaa ferry nakwambia, mkenya huthamini sana kwao
 
Nyie posh places zenu waafrika hawakanyagi, labda kufagia barabara na kufanya kazi za ndani.
View attachment 1273051
Unafikiria karen ni km masaki unaenda kukodi appartments km ma star wenu ili waonekane wanaishi high ends areas wakiishiwa hubaki kuhaha

Karen km humiliki property yyte huna budi kupaangalia kw mbali tu, utaenda kufanya nn kwanza?
 
Appartment kibao km vile bamburi tu
Posh areas are not supposed to have apartments. Nimeshangaa sana kuona their best estate (masaki) has apartments left right and center. Waje watembee Karen Muthaiga na Runda waone kama watakutana na apartments. Even places like Nyari, Kitusuru, Spring Valley, Lower Kabete, Loresho na Kyuna hazina apartments na kama ziko ni chache sana
 
Airport ya Arusha inaongezwa run way na jengo la abiria. Tayari funds iko allocated ni kuanza tu. By mid next year tayari Arusha watakuwa na international airport. Zitapangana, KIA, Arusha na Serengeti.
Safi. So kilichobaki ni kuanza sgr. Mungiki hawataweza hizi mbio lazima waseme poo
 
Nyie posh places zenu waafrika hawakanyagi, labda kufagia barabara na kufanya kazi za ndani.
View attachment 1273051
halafu hawajifunzi ,,,,hawajui kuwa dar watu wanahama maeneo na kujenga pembezoni mwa mji na kadri miaka inavyozidi kwenda sehemu nyingi za dar zinafumuliwa na watu huwekeza biashara zao hiyo ni moja ya tofauti kati ya dar na nairobi......mfano baada ya maika 30 au 50 ukipita maeneo ya hizo kota zao za hostel hapo nairobi itakuwa ipo hivyo hivyo lakini kwa dar after 30 au 50 years ukipita hayo maeneo ni tofauti utakuta watu washafumua kila kitu kinakiwa kipya
 
Back
Top Bottom