Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

njia panda ya chuo udsm
IMG_1574487296.879856.jpg

IMG_1574487308.886340.jpg
 
Dawa ya deni ni kulipa sio kila wakati kuingilia kenya apa ina deni na hatujawahi shindwa kulipa deni lolote.
 
Tusibishane bure swali kwanini wakenya wakija tz tunawapeleka majumbani kwetu ila wao ukiwatembelea Kenya hawawezi kukupeleka wanapo ishi sababu ni moja wanaona aibu wakilinganisha makazi yetu watz na yakwao hivyo ukimwambia mkenya unataka kumtembelea kwake utaona anabadilika na kukunja uso sababu 75% ya wakenya Nairobi wanaishi Kwa slum huo ndiyo ukweli
Umeitoa wapi hyo 75%
Population kubwa ya wakaazi wa nairobi wanaishi eastlands...

Sasa nionyeshe middle class area yyte dar inaweza igusa eastlando..we unafikiria utakaribishwa kw watu kwn unataka kuolewa...Ukitaka nenda kw wakwe zako utapokelewa vizuri tu.

Tatizo lenu mnapenda ubwete, kenya kila mtu anapambana na hali yake..

Nionyeshe middle class area yyte dar km donholm, umoja, southb, nyayo ni nyingi tu
 
a man from unreasonable city.....a.k.a kenyan zombie
 
Back
Top Bottom