Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do that's a flat in Tanzanian standards?? Hivyo ndo mnafundishwa kwenye shule zenu? 😱 😱 😱
Maisha yenu ni magumu sana kiukweli, inasikitisha. Hayo mabati hivi wakati wa joto huwa mnaishije?
 
sio nairobi sasa.sijui unaelewa!!!

yaani ukitaja protoria let say,hiyo pretoria umeitaja na dar.hatuna pingamizi juu ya hii.
And that's my point. Maendeleo au ubora wa jiji au mji au hata nchi haupimwi na ukubwa wake. What you are doing (or have done) with the little or big space you have is the most important thing. So next time don't go quoting size here like it matters anyway!!
 
Kijana, if it's about the mall, hiyo sector hata wewe hapo unajua vizuri sana mnasoma number yetu. If it's about the BMW, I would just like to remind you that their biggest sales office in East Africa is in Nairobi [emoji23] [emoji23] [emoji23]

I only see proboxes in Nairobi roads,
Wewe unatumia gari gani?
 
Maisha yenu ni magumu sana kiukweli, inasikitisha. Hayo mabati hivi wakati wa joto huwa mnaishije?
Pole kaka Nairobi is a place of cool waters. Huku joto ni kama ndoto. Maybe you need to revisit your history books ujue chimbuko la jina "Nairobi" na maana yake. About maisha magumu, I can prove which people between Kenyans and Tanzanians are living a better life
 
I only see proboxes in Nairobi roads,
Wewe unatumia gari gani?
That's my personal life. I am not under any obligation to talk about my private life in a forum. It adds no value to you.
 
tutaendelea since the battle is dar vs nairobi.

ikija dar vs NY hahaa hapa area size haiatafaa.
 
My dear, let me put you in a geography lesson. You live in a tropical savanna. Nairobi is of course cooler than Dar es salaam but it doesn't mean that the city is not hot sometimes. Tena wakati huu ni "summer" in Nairobi, it rains and yes, kuna heat. Mida ya June to August ndio kuna baridi. Kwa hiyo rudi darasani ukasome kabla hujabishana na mimi sawa? Halafu kuhusu quality of life, huwezi kuprove chochote kwangu. Kwa jitu ambalo halijawahi hata kufika Tanzania na mimi nimeshakaa sehemu zote mbili, TZ na KE, huwezi kunibishia chochote.
 
tutaendelea since the battle is dar vs nairobi.

ikija dar vs NY hahaa hapa area size haiatafaa.
Mimi sina shida kuendelea ila msiwe watu wa kutoa hoja na mihemko pasi kuwa na uelewa just because this is a battle.
 
Then how do you want me to engage you if you already "know" me that much and even have a formed opinion about me? Why are you being in the defensive? Back to Nairobi, yes, it sometimes get hot (it even gets hot in Europe which is one of the coldest continents) so there's no exception about that. I would just like to remind you that I told you to revisit your history books (not geography books like you've done here). You must be very poor in following simple instructions. Don't remind me of something that I already know. I live in Nairobi and I know that it sometimes gets a little hotter. That is not to say that nairobi is hot.
 
Mi #tags zao zinaniua sana #tunatekeleza, #tumeamua na sasa #tuelewane.

Safi sana.
 
Eti it gets a little hotter, can I please remind you that I have lived in Washington state na hii cold weather ya nairobi kule ni kama summer tu. If you have been to Tanzania then say it ili tuone credibility ya information unayotupa hapa. Kawadanganye bweha wenzako sio mimi
 
Wacha kulazimisha vitu wewe
 
Usipoteze mada ww cc tunaongelea kivyote kiukubwa na hata kimaendeleo dar iko far away from Nairoba
 
Kitu wadanganyika wengi hawajui nikua wakaazi wengi Wa Nairobi wanaishi kwenye apartments,do you know an eight story apartment can handle more than two hundred people here in Nairobi?.... That's why tunawambia Dar ni one big slum village.Yani 40% of Dar ni slum...55% ni vegetation/forest na 5% ni cbd,masaki,oustbay....etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…