Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mipasho.com
 
Heheeeee..lamu port tulikopa china shingapi
 
Afu wakenya wa huku wanajifanya hawaelewi. Wenzao wanalia kbsa [emoji23][emoji1421]

Sema hii ngoma ya Nandy na Harmonize ndo kali kuliko zote
View attachment 1263569
View attachment 1263570
View attachment 1263571
Hawajui chochote hao kinachoendelea tanzania...wanafanya kumskia kwenye medias tu wakati anapambwa...

Kuna vitu huaga nikiwaonyesha wanagu wanashtuka, huaga hawaamini kabisa km ni yule magu anayesifiwa mitandaoni...nimeshawatoa matongo tongo wengi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…