Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utasikiaa nijenge mie Kobe
 
Umeona ss aya chek ushaumbuka...Nilisema mm kwa hzo water theme parks uku Tz ndo kwao Dxtr[emoji115][emoji115]
Hamna kitu hapo, hii Wild Waters ndio kusema bado hata na uzee wake. Tunasisitiza hii ni Dar vs Msa, hamfiki bei ya Nairobi

 
Vitu vingi sana havikuwepo hiyo 2012,
Mfano BRT,
Tuko na uswazi lakini hatuna slums, wala nyumba za mabati kama kwenu watu kunya kwenye flying toilets
I can bet my house you have never been to Kenya, jaribu kusave ufungue akili kwa matembezi. Naijua Dar vizuri na najua iko na majengo ya kupendeza na hakuna mtu anakataa, lakini bado ni kidogo, mko na miaka kadhaa kufika kiwango cha Nairobi sai, both kifedha na modernization.

 
Old CBD yenyewe hamjafika, tayari slum zime encroach huo mji na bad mnaitisha battle za kishenzi



Ndio mfike hii level tunawapatia miaka zaidi ya ishirini


















 

Attachments

  • Muthaiga interchange by Standard Media.jpg
    54.6 KB · Views: 12
  • Nairobi CBD courtesy of capitalfm lifestyle.jpg
    143.7 KB · Views: 13
  • Museam_hill_interchange.jpg
    82.8 KB · Views: 8
  • ngong 2.jpg
    78.1 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…