Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa nafikiri unakuanga mjinga wa kiakili Kumbe hata masikio ya kusikia pia huna!!! Duh!! Umesikia wakiongelea nini kwenye hiyo video
Watu wanaishi kw matope bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
Lkn kule kwao ni middle class
 
Watu wanaishi kw matope bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
Lkn kule kwao ni middle class
Imagine! Yani kwa matope ndani kabisa. Nimeona hadi nyumba za makaratasi (polythene) hapo. Middle income estates hizo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Huwa nawaambia kwamba standards zetu na zao hazikaribiani hata kidogo. Their standards are way too low. But that befits an LDC like them
 
Kwahyo we una akili?[emoji23] [emoji23]
 
Kabisa...si mi hyo video niliicheki, hao jamaa wanapata tabu sana....
Wanaishi juu ya maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…