Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,175
- 107,752
ila the Citizen ni wazinguaji asubuhi wameandika for 2020/2021 Budget 4 more aicraft r to be procured (1 dreamliner, 2 A220-300 n 1 Dash 400) after the 2 A220-300 and Dash 400 to be delivered in 2020! Msemaji wa serikali kaeleza hivi pia leo! Sasa the Citizen wanaweka taarifa nyingine! Huu ni ukanjanja!Chuma cha tatu kimeagizwa😁😁😁
Dar imefikiwa na Mombasa already.Kwahiyo iliwahi kupanda ligi ?? Na sasa imeshuka !!! Leo umekubali japo Kwa mafumbo Kwa sababu dar aijawahi kushuka inazidi kwenda mbele day to day Kwa kasi ya 5g
Sindano imekuingia Hadi ukaandika shahiri 😂😂Du kwahiyo dar nako kunanuka mavi kama Mombasa maana Mombasa inakwenda chini ,
Simlikuwa mnasema dar va Mombasa kumbe mlijua Mombasa ipo chini ? Ukweli ni kuwa DAR ES SALAAM = NAIROBI + NAIROBI METROPOL + MOMBASA - SLUM
DSM= N + NP + M - SLUM
Du kwahiyo dar nako kunanuka mavi kama Mombasa maana Mombasa inakwenda chini ,
Simlikuwa mnasema dar va Mombasa kumbe mlijua Mombasa ipo chini ? Ukweli ni kuwa DAR ES SALAAM = NAIROBI + NAIROBI METROPOL + MOMBASA - SLUM
DSM= N + NP + M - SLUM
u can't have both u chose to grow khat instead!
😂😂😂
Wakenya wana vituko sana,sijui ni umasikini,njaa ama nini