Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,857
- 103,716
Yaani unataka kulinganisha kuongezeka kwenu kwa bei ya unga ni shortage of maize in the market2kg in Kenya is ksh127 while in Tz is ksh160.
2kg in Kenya is ksh127 while in Tz is ksh160.
Tell that To your media not me.Acha kudanganya kwa kigezo gani umetumia kuwa unga 2kg imefika ksh160.hivi wewe unaona walioko huku JF wengi ni watoto etty
Economy hurts😁😁😁😁
Nioneshee media gani imesema unga imefika ksh160 kwa tz.proveTell that To your media not me.
Economy hurts
trust me guys, these people are very broke! Kenya matajiri wengi ni viongozi coz of corruption! normal citizens wengi sana ni maskini, na mazingira yao ni machafu kichizi
Imagine kwenye jiji la Nairobi .. jiji ni chafu namna hii na kuna nyumba za udongo kama hizi
View attachment 1251689View attachment 1251690View attachment 1251691
Wahurumie tu 😂😂😂😂😂 mm nawajua vzr sana haotrust me guys, these people are very broke! Kenya matajiri wengi ni viongozi coz of corruption! normal citizens wengi sana ni maskini, na mazingira yao ni machafu kichizi
Imagine kwenye jiji la Nairobi .. jiji ni chafu namna hii na kuna nyumba za udongo kama hizi
View attachment 1251689View attachment 1251690View attachment 1251691

Nioneshee media gani imesema unga imefika ksh160 kwa tz.prove
Post Kibera yote, that's where your hopes are lying.trust me guys, these people are very broke! Kenya matajiri wengi ni viongozi coz of corruption! normal citizens wengi sana ni maskini, na mazingira yao ni machafu kichizi
Imagine kwenye jiji la Nairobi .. jiji ni chafu namna hii na kuna nyumba za udongo kama hizi
View attachment 1251689View attachment 1251690View attachment 1251691
Nimeifungua na nimeona imeandikwa kg1 ni tsh1800 ndo nataka uprove kuwa kg2 ni ksh160Your problem is laziness, kwani hujaona hiyo tweet nimepost hapo juu? Ama ulitakaa niongeze na vifaa vya uganga hapo kando yake ndiyo uone?
Nimeifungua na nimeona imeandikwa kg1 ni tsh1800 ndo nataka uprove kuwa kg2 ni ksh160
Na wewe uliandika kuwa kg2 ya unga kwenu ni ksh127 na tz ni ksh160 ndo nataka uhakikishe hayo maneno yako uliyoyasema sio unaropoka bila kuprove
Muongezee na hizi. Sema hawa wapuuzi jina ‘Kenya’ tu ndo linawabeba.. nchi yao chafu sana na wana maisha magumu kichizi
View attachment 1251473View attachment 1251475View attachment 1251476View attachment 1251478View attachment 1251481