Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

trust me guys, these people are very broke! Kenya matajiri wengi ni viongozi coz of corruption! normal citizens wengi sana ni maskini, na mazingira yao ni machafu kichizi

Imagine kwenye jiji la Nairobi .. jiji ni chafu namna hii na kuna nyumba za udongo kama hizi
View attachment 1251689View attachment 1251690View attachment 1251691
Tunaikosea sana dar-es-salaam kuifananisha na hiyo takataka inayoitwa nairobi

Nairobi ni uchafu tu hivi mtu gani anaweza ku-survive katika mazingira ka hayo!
 
Umeshindwa kuenda kupiga umeamua ku download zile zenye zipo mitandaoni
Endelea ku download picha za slums halafu ulinganishe na daresalam tu
trust me guys, these people are very broke! Kenya matajiri wengi ni viongozi coz of corruption! normal citizens wengi sana ni maskini, na mazingira yao ni machafu kichizi

Imagine kwenye jiji la Nairobi .. jiji ni chafu namna hii na kuna nyumba za udongo kama hizi
View attachment 1251689View attachment 1251690View attachment 1251691
 
Umeshindwa kuenda kupiga umeamua ku download zile zenye zipo mitandaoni
Endelea ku download picha za slums halafu ulinganishe na daresalam tu

Hizi sio? muwe mnafanya usafi bas
IMG_1572698601.569943.jpg
IMG_1572698613.191191.jpg
 
Ndugai katibiwa na hela mara tano ya hzo...sasa sijaelewa unataka kutuonyesha nn
Billions 7 zinatumika kuziba mashimo kweny uwanja wa ndege??
Hapa ndo viongozi wa Kenya wanapata upenyo wa kujitajirisha
 
Back
Top Bottom