Miundo msingi unamaanisha barabara? kwani hatuna? mna BRT? si mna vile vimatatu vidogo ambavyo hata watu hawapumui ndani 😂 😂 kama mnauziwa mchanganiyiko wa nyanya na vitunguu hayo ndo maisha gani sasa? Hivi mna afya kweli nyie? Yaani inachekesha sana kusikia watu wanaotegemea chakula tunacholima sisi wakituita haters. Tungekuwa real haters tusingewauzia chakula mkanunua vya bei ghali kutoka sehemu nyingine.Si hoja wakaazi wa LDC wakishangaa kachumbari inauzwa. Ulisahau kusema sauce inauzwa kando. Kweli hawa LDC tuwapatie miaka mingapi kabla ya kuwa na miundo msingi kama hii. Nimegundua kuwa haters wanaishi tu hapa Nairobi, nivile wanashangaa mbona nchi yao iko nyuma ilhali wamebarikiwa na maeneo kubwa ya kitalii na madini. Seems the only way to dilute the hate is to compare and hate. Nashangaa hawa "expert economists" mbona hawaulizi bei ya fries kule America kama kweli wanelewa maswala haya
Waulize wakina mk254 mm nimeusahau ule Uzi jina lake ila ulikuwa unahusu mambo ya chakula,ila wewe ni mnafiki unaishi Kenya ila unajidai ujui iloWapi hko basi..nina hamu ya kupajua
Umeuziwa soda 90[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwel wakuja wanapigwa aisee
Kenya wapi labda kibera ,sisi huku KSH90 unapatiwa ugali wenye mboga 4 safiNani kakwambia kw mama nitilie kenya 50 huli sahani ya ugali au wali...
Huyo kaenda hoteli ya wapigaji..wee jiji hulijui unajifanya mjuaji, endelea kupigwa hvo hvo..utarevuka tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1249338
Mim nipo Nairobi nimebanwa kidogo na ratiba. Natakiwa kurudi Dar ijumaa, lakin sitarudi ijumaa. Jmosi nitakuwa nina mda mzuri kwa kuzunguka nairobi. Nitakuwa naleta updates humu [emoji23][emoji23]... sema kiufupi wana maisha magumu hawa jamaa [emoji23][emoji119]
Du du du wakenyaaaa!!! Kumbe bei ya vitu kwenu ni ghari namna hiyo !!!!! Tanzania soda ya ni sh500 ndogo sawasawa na Kenya sh 22 kubwa tsh600mbona mnajifanya mazuzu. The price of soda ndogo (ya chupa) ni Ksh 35 ila kuna sehemu ukienda you will cough out ksh 200 or more to enjoy the same soda. It all depends with the joint and its location. Personally, I have never bought soda ya plastic for ksh 90 in a normal shop. It costs between ksh 60- ksh 70 in normal shops and restaurants
KSH 70 unauziwa soda 1 Tanzania unapata soda 3 Kwa hiyo hela sasa hapo ndiyo utajua kwanini wakenya mnalipwa mishahara mikubwa na Tanzania tunalipwa mishahara midogombona mnajifanya mazuzu. The price of soda ndogo (ya chupa) ni Ksh 35 ila kuna sehemu ukienda you will cough out ksh 200 or more to enjoy the same soda. It all depends with the joint and its location. Personally, I have never bought soda ya plastic for ksh 90 in a normal shop. It costs between ksh 60- ksh 70 in normal shops and restaurants
Toka juzi ma3 zao ni full kelele mle na uno la harmonize!Miundo msingi unamaanisha barabara? kwani hatuna? mna BRT? si mna vile vimatatu vidogo ambavyo hata watu hawapumui ndani [emoji23] [emoji23] kama mnauziwa mchanganiyiko wa nyanya na vitunguu hayo ndo maisha gani sasa? Hivi mna afya kweli nyie? Yaani inachekesha sana kusikia watu wanaotegemea chakula tunacholima sisi wakituita haters. Tungekuwa real haters tusingewauzia chakula mkanunua vya bei ghali kutoka sehemu nyingine.
Did you read what I posted ama wewe ni kuweweseka tu? I clearly stated soda ya plastic costs between 60-70 Kenyan shillings ila normal soda ndogo is 30-35. Mbona una uelewa finyu?
Sema soda kwenye chupa ya plastic siyo soda ya plasticThen it's pointless having this debate. Why would you want to talk about something you don't know?
Kenya wapi labda kibera ,sisi huku KSH90 unapatiwa ugali wenye mboga 4 safi
Kwani wewe unanunuaga soda!? Sijawai waona wakenya wakinya soda ,soda ni anasa kenya
Waulize wakina mk254 mm nimeusahau ule Uzi jina lake ila ulikuwa unahusu mambo ya chakula,ila wewe ni mnafiki unaishi Kenya ila unajidai ujui ilo
Umepanic tayar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu tuzungumzie soda take away kenya inauzwa 80-90ksh wakat tanzania soda take away inauzwa 1000 ambayo ni sawa 45ksh akili kichwani mwako
Wamekuja na policy mpya kwmb bei rahisi zinapatikana ldc [emoji23][emoji23][emoji23] tuwaache tu mana kwny vyakula, majengo,huduma za afya, miundo mbinu, usafiri, uzalendo n.k washakubali nazani tuanzishe mada nyingine hz ztawafanya watuachie thread humu
😀😀😸👏Then it's pointless having this debate. Why would you want to talk about something you don't know?
na hii ni city ya tower ngapiLagos, the biggest city in Africa
.View attachment 1249770