Mctake kupotezea na kuondoa uhalisia apa hyo bei imeandikwa ktk bango it means ndo kawaida na ndio bei zenu co kwmb jamaa ame bargain hyo ndio hali halisi ya uko kwenu
Ushahama ssKawaida ya ldc[emoji1787][emoji1787]nenda sauzi ukajionee bei ya soda
Aisee hii ni hatar zaidi ya salama yn unakubali kwamba nyie ni wevi daahh yn mnapga mpk kwny kachumbari kweli Zari angefny masiala mngemuibia mpk underwear [emoji16][emoji16][emoji16]
Mim sijanunua chakula kinachohitaji hizo kachumbali na tomato sauce, nimeoona tu kwenye menu ukutani.
Now imagine mtalii ana kuja nchini kwenu analipishwa Kachumbari na Tomato sauce.. wakat ilitakiwa iwe ni option yake kuwekewa freely au asiwekewe! Hapa ndo mnapofeli kwenye hospitality[emoji2363]
Wapo wengi sana mkuu 😂😂😂Kuna dada yao kacross kuja kufosi ndoa kwa mbosso ili tu atimize ndoto yake ya kuishi bongo!
Sawa hata kama ukisema ni ksh35 lakini bado tu itakuwa inabei kubwa coz hiyo ksh35 kwa ajili ya soda inabaki na chenji so bado mnahali ngumumbona mnajifanya mazuzu. The price of soda ndogo (ya chupa) ni Ksh 35 ila kuna sehemu ukienda you will cough out ksh 200 or more to enjoy the same soda. It all depends with the joint and its location. Personally, I have never bought soda ya plastic for ksh 90 in a normal shop. It costs between ksh 60- ksh 70 in normal shops and restaurants
Na huku kwetu mtaani soda ni ksh25 sasa huoni ninyi mnahali mbaya mnauziwa ksh35 kwa soda mojambona mnajifanya mazuzu. The price of soda ndogo (ya chupa) ni Ksh 35 ila kuna sehemu ukienda you will cough out ksh 200 or more to enjoy the same soda. It all depends with the joint and its location. Personally, I have never bought soda ya plastic for ksh 90 in a normal shop. It costs between ksh 60- ksh 70 in normal shops and restaurants
Waache kukupiga mbugila kama wewe.kweli dunia itakuwa imefika mwishoHeheee...we pia ukienda nairobi utapigwa tu...hamna ujanje kule
Waache kukupiga mbugila kama wewe.kweli dunia itakuwa imefika mwisho
Tokomezeni hali duni yaani bora kuwa maskini kuliko kuwa na hali duni
Naona umezidiwa hadi unaanza kutukana pole yako siwezi kukujibu kwa matusi coz mimi sio mjinga kama wewe
haya majengo mbona ni kunguni life style[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1249338
Mim nipo Nairobi nimebanwa kidogo na ratiba. Natakiwa kurudi Dar ijumaa, lakin sitarudi ijumaa. Jmosi nitakuwa nina mda mzuri kwa kuzunguka nairobi. Nitakuwa naleta updates humu [emoji23][emoji23]... sema kiufupi wana maisha magumu hawa jamaa [emoji23][emoji119]
Ushahama ss
Ushahama ss
Umepanic tayar😂😂😂😂Nimuite zitto aje kukuumbua sai[emoji1787][emoji1787]
Hebu tuzungumzie soda take away kenya inauzwa 80-90ksh wakat tanzania soda take away inauzwa 1000 ambayo ni sawa 45ksh akili kichwani mwakoDid you read what I posted ama wewe ni kuweweseka tu? I clearly stated soda ya plastic costs between 60-70 Kenyan shillings ila normal soda ndogo is 30-35. Mbona una uelewa finyu?
Wamekuja na policy mpya kwmb bei rahisi zinapatikana ldc [emoji23][emoji23][emoji23] tuwaache tu mana kwny vyakula, majengo,huduma za afya, miundo mbinu, usafiri, uzalendo n.k washakubali nazani tuanzishe mada nyingine hz ztawafanya watuachie thread humuHebu tuzungumzie soda take away kenya inauzwa 80-90ksh wakat tanzania soda take away inauzwa 1000 ambayo ni sawa 45ksh akili kichwani mwako
Muwazoee hawa tuko nao miaka mitatu humu ndani😂😂😂😂😂Wamekuja na policy mpya kwmb bei rahisi zinapatikana ldc [emoji23][emoji23][emoji23] tuwaache tu mana kwny vyakula, majengo,huduma za afya, miundo mbinu, usafiri, uzalendo n.k washakubali nazani tuanzishe mada nyingine hz ztawafanya watuachie thread humu