Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Our sgr is electrified, trains are modern and faster than those of kenya. You are literally comparing long viaducts that actually run across national parks in Kenya to ours that runs across the west part of the Dar es salaam Metropolis. Our project is unarguably better than yours both in terms of cost efficiency and quality. Msishoboke hata kidogo kwasababu safari ya kwanza ya treni ya umeme Afrika Mashariki itakuwa Tanzania December mwaka huu. Halafu hizo stations mmeconsider walemavu kweli? maana mingazi kama mia sasa watu wasioweza kutembea waningiaje stesheni?
View attachment 1246114View attachment 1246107View attachment 1246108View attachment 1246109View attachment 1246111View attachment 1246115View attachment 1246127
Unauliza Maswali basic sana! Eti kama imeconsider walemavu! Even simple three -storey buildings have such considerations nowadays
 
Wanao lala hapo ni wale wenye uchumi mkubwa na isitoshe ni wakenya weupe jamaa zangu wa kibira huta waona hapo labda walinzi 😁
That's what you think coz it's what sisiemu has made you believe all these years. Kakangu anaishi hapo Karen. Hata yeye pia ni mzungu
 
Unauliza Maswali basic sana! Eti kama imeconsider walemavu! Even simple three -storey buildings have such considerations nowadays
But do your stations consider them? because I know for a fact that they do not. Dar sgr station has escalators, stairs and lifts to serve everyone, not just people who are able to walk. Hata nje landscaping haitakuwa na ngazi mia kama kwenye sgr station zote za kunyaland. Mchina aliona awafanyie bullshit
 
The first obsolete and corrupted SGR in EA to be precise. We were not in a hurry and yet today we make you squirm. It's the first but it's making losses and Chinese people run it. If I were you, I would shut up.
😂😂😂 Ulie usilie, iwe ya deni isiwe ya deni... nataka ukiwa mahali uko uingishe hii fact ndani ya kichwa chako that
'The first and only functional SGR in East Africa is in Kenya 600km'
 
It's actually December. Acha shobo na utulie halafu December huo uzinduzi usipofanyika ndio uongee
😂😂😂😂 hamisha goal post kabisaa. Ata ungesema december 2020..
Apa si ni kazi tuu
nufietixsjqdklsxun5bb12679ed759.jpg
 
😂😂😂 Ulie usilie, iwe ya deni isiwe ya deni... nataka ukiwa mahali uko uingishe hii fact ndani ya kichwa chako that
'The first and only functional SGR in East Africa is in Kenya 600km'
You sound desperate. Sina mambo ya kitoto kama wewe unayelazimisha kuipa sifa hiyo project ya kipuuzi. Mlijenga kushow off au? If it's the first, ours is the first electrified sgr. A better version of yours. This is what you should be sucking into your head.
 
😂 😂 Yes its done by chinese + kenyans but in Kenya and its kenyan sgr usisahau hilo. We welcome foreigners here to work and develop our nation and they love it.
You obviously read bedtime stories too much. Foreigners who occupy opportunities that your fellow Kenyans could be exploring and you are happy with it? I am stunned! If you have nothing else to say, lets call it a day.
 
Which Kenyans knew how to build SGR before? But through foreigners they now know. Am amazed you are ignorant of yepi merkez there mbona watanzania hawakupewa hiyo contract?? Stop being a hypocrite
 
Please, if you'd the money you'd have built one already. Cape gauge runs all the way from Dar to Cape town.
No wonder its called cape gauge and Kenya is in East Africa so we dont need it. And for your info cape gauge is now obsolete, no one is building it anymore.
 
Which Kenyans knew how to build SGR before? But through foreigners they now know. Am amazed you are ignorant of yepi merkez there mbona watanzania hawakupewa hiyo contract?? Stop being a hypocrite
Ratio ya watanzania wanaofanya kazi kwenye mradi ni considerable kuliko wakenya walioko kwenye mradi wenu. Wapo engineers wa Kitanzania wengi tu wanaofanya kazi kwenye huu mradi. tatizo sio contractor, tatizo ni idadi ya wazawa wanaofanya kazi kwenye mradi na kwa hili hapa mjinga ni wewe
 
Leta data sio kutumia hisia zako. Kenya we have a plan to 100% operate our SGR locally by 2027 according to kipande cha gazeti kizee ulicholeta hapo juu. By then natumai tutakua tumefika Ugandan border sababu sa hivi tuko na more than 600km and we are already past Naivasha nearing Narok town. Hatukimbizani na tanzania kwa hili mambo ni asate aste huku. So far tuko na locomotive drivers waKenya....mradi bado haujakamilika ipasavyo
 
Back
Top Bottom