babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,908
- 34,908
Quality roads in Tz
And we will rule forever
Huwezi pata kama hii kenyaSo unataka kutuambia barabara za kenya sio mbovu?
😂😂😂
Uko sure?Huwezi pata kama hii kenya
Endelea kuimba white elephant as we rule the East CoastWhite elephant,
Ungeleta na comments za hiyo tweet namna alivyopewa za uso.
Hata mtu mwenye matatizo ya akili hawezi sign ujinga kama huo.Endelea kuimba white elephant as we rule the East Coast
And we will rule forever
Ujinga gani? Lamu port is fully funded by GOKHata mtu mwenye matatizo ya akili hawezi sign ujinga kama huo.


White elephant 😂😂😂 hapo naona gazeti limekupa sifa na akili fupi.Ujinga gani? Lamu port is fully funded by GOK![]()
dream houses 😂 😂 😂Nyumba kama hizi zimejaa uku mgombani kwetu Moshi
Your argument is still too shallow. Have staircases become mapambo ambayo yanawekwa kupendeza macho? They are only erected where they are need and this is depending on how elevated a place is. And by saying walemavu hawajakuwa considered, have you confirmed this ama wewe ni kuongea tu?But do your stations consider them? because I know for a fact that they do not. Dar sgr station has escalators, stairs and lifts to serve everyone, not just people who are able to walk. Hata nje landscaping haitakuwa na ngazi mia kama kwenye sgr station zote za kunyaland. Mchina aliona awafanyie bullshit
Can you prove these claims? That more Tanzanians are working on construction works of your SGR and that fewer Kenyans were involved in the construction of our SGR and its operations? Ama kila kitu unatoa tu kichwani?Ratio ya watanzania wanaofanya kazi kwenye mradi ni considerable kuliko wakenya walioko kwenye mradi wenu. Wapo engineers wa Kitanzania wengi tu wanaofanya kazi kwenye huu mradi. tatizo sio contractor, tatizo ni idadi ya wazawa wanaofanya kazi kwenye mradi na kwa hili hapa mjinga ni wewe
I told you that I know for a fact! and yes, walemavu hawajawa considered. Usijifanye unajua kuongea sana, niletee proof inayoonyesha kuwa walemavu wamepewa nafasi ya kutumia hizo stations maana sidhani hata parking lot zina handicap spots.Your argument is still too shallow. Have staircases become mapambo ambayo yanawekwa kupendeza macho? They are only erected where they are need and this is depending on how elevated a place is. And by saying walemavu hawajakuwa considered, have you confirmed this ama wewe ni kuongea tu?
Aaah thubutu 😂😂😂 ataanzia wapi.nampa kazi ya kuleta hata comment moja nzuri aliyoipenda yey mwenyewe kwenye hizo reply![]()
wachina ni marafiki zetu hatuwaruhusu kufanya uzembe kweny nchi yetu
And we will rule forever