Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Kule Wakenya waliweka kauzibe wakampiga ban.Kwa hizi nimekusaluti. Rudi na skyscraper city utuchangamshe kule. Kumeboa siku hizi. Naona wakenya wamekuteka hapa![]()
Kule Wakenya waliweka kauzibe wakampiga ban.Kwa hizi nimekusaluti. Rudi na skyscraper city utuchangamshe kule. Kumeboa siku hizi. Naona wakenya wamekuteka hapa![]()
Huwa mbona hupost za Kenya zikisombwa na maji?Low quality roads, LDC no LDC tuView attachment 1245509
Take the dose.Huwa mbona hupost za Kenya zikisombwa na maji?
Akili fupi.
Low quality roads, LDC no LDC tuView attachment 1245509
Dose ujinga,Take the dose.
Dose ujinga,
Mbona hukupost barabara ya Mombasa - Tz ilivyoharibiwa na mvua wiki iliyopita?
Tahmeed usijali, Utafika tu Kenya uachane na haya matesoView attachment 1245523
Yani ni km eti kunanyesha tanzania pekeake east africa
Ifike hatua msijidhihirishe kama ninyi kweli ni nyani.Wakwende mbali, hata Nairobi mvua imenyesha like 4hrs ago na sioni ujinga kama hizi.
Angalia tuta hilo kwanza lilivyokatwa,uta note kitu.Low quality roads, LDC no LDC tuView attachment 1245509
Hii ilikaa peke yake tu ikaanguka



.