Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hizi buses mnaweka hapa ni za nini, anyone anaweza nunua,tunataka vitu mzito mzito za more than one million dollars,wacheni kuweka uchafu hapa wa pesa kidogo kidogo yenye ata haiadd value kwa GDP
 
Itawachukua miaka 100 kufika Tanzania ilipofika kwenye sector nzima ya usafiri wa nchi kavu, kwanza hata stands hamna, ni sawa na kuwa na ndege halafu huna Airport, Tanzania luxury buses zipo kila mkoa, Kenya kuna mikoa hata lami hawajawahi kuona
Those are cry of a loser.
Kenya has 21000km of tarmaced roads while Tz only have 12000km.
 
Hv nyie viumbe hamna pcha zngne mana daily ni hz hz kwn nairoba haina majengo mengine haya tumeshayachoka daily KICC mbn wenzenu wa Tz wanatupia majengo tofauti tofauti tena mengine ata me mwenyewe mTz nlikuwa cyajui
Are you talking about those 3 blue towers we are being shown here daily? I'm 100% sure hii picha hujaiona huku.
IMG_20191015_231814.jpeg
 

Attachments

  • 2191749_0031D892-64F5-4135-85E6-B15F2A8D679D.jpeg
    2191749_0031D892-64F5-4135-85E6-B15F2A8D679D.jpeg
    54.8 KB · Views: 6
  • 2191750_DFF77091-BBDA-40B1-A803-D054AB484C79.jpeg
    2191750_DFF77091-BBDA-40B1-A803-D054AB484C79.jpeg
    77.5 KB · Views: 6
  • 2191751_FED2E9D0-C62B-4814-BC44-85487F395651.jpeg
    2191751_FED2E9D0-C62B-4814-BC44-85487F395651.jpeg
    41.1 KB · Views: 5
Back
Top Bottom