Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


 
Sasa ndio nikasema tutumie kuwait dinar...strongest currency in the world...
Mbna mnaweweseka hvo
We Pimbi kuna bilionea Kwa kipimo cha usa $ kipimo cha £ kipimo cha Ksh kipimo cha tsh no Kwa hiyo unapo zungumzia bilionea Kwa kushindanisha nchi mbalimbali ni lazima utumie value moja ya hela kama USA dollars
 
Najua shule ulienda,lakini hukuelewa ulichokuwa ukifundishwa
Do you know the meaning of "theory"??!
Kuna theories zaidi ya 10 kuhusu kutokea kwa mwanadamu,mojawapo kati ya hizo ni "theory evolution" na "theory creation"..those are just theories kuhusu kutokea kwa mwanadamu,history haikukuambia kwamba binadamu alikuwa nyani,ila history ilikuwa inajaribu kukuorodheshea some of the "theories of human formation" zilizo-orodheshwa na wanahistoria na wanasayansi mbalimbali

History haitaki wewe huamini kwamba binadamu alibadirika kutoka kuwa nyani,bali history ilikuwa inajaribu kukuonesha jinsi wanasayansi wanavyodhani kuhusu kutokea kwa binadamu
Najua wewe ni kilaza huwezi kuelewa!!duh.. KWA AKILI HIZI WAAFRIKA TUNA SAFARI NDEFU SANA
 
jameni hizi assembly zimekuwa Kenya tanzia serikali ya Kenyatta Senior. Hizi ni latest upgrades tu.

and 99% of all the Cars in Your roads are used imported from Japan.
What a wastage, Pale Mombasa Road kuna assembly plant ya Hino with vehicles rotting in rusts.
 
We ni nyani tu
Kati ya theories za kutokea kwa binadamu ukaona hii ya nyani ina ukweli hahaaaa haaaa...halafu unajiita educated!!.. halafu na yule nyani mwenzio wa natural calamity!
Eti kudondoka kwa shule ile ya kibanda ni natural calamity😂😂😂😂😂😂...
 
Those 19 million unemployed Kenyans are living a far much better life than the average employed Tanzania because fewer of them are living on less than a dollar a day than the "employed" Tanzanians who cannot even afford one dollar a day
Watoe wapi hiyo pesa?, unajua maana ya jobless?
 
Kuna sababu za kimsingi, mtasema nini tukiweka? ulidhani Kibaki na maarifa yake yote ya economics hakujua hivyo akijenga Thika road? wakati tuna capacity ya kutengeza buses locally?
Uwezo wenu wa kubuni miradi kwa kupanga " priorities " ni mdogo sana. Ona sasa hivi mnaanza kujenga barabara ya juu toka Airport kwa pesa ambayo ingetosha kujenga " BRT lanes" zote za Nairobi. Kwanini msitumie hiyo pesa kujenga " special lanes za BRT mji mzima hadi huko JKIA kama tatizo ni foleni?
 
Kajambe mbele uko mmekosa majengo ya maana unaleta porojo apa eti oohh ndo mlivyoplan unaanza kulinganisha Nairobi na London hyo c lana hyo unalingansha London na jiji lenye slums nyng kuliko maghorofa!!! Acha ujinga ww
Nixie gave you an example of London with vegetative cover and that was the simple essential part for you to understand, so simple and direct comment,is that too hard for you?...do you have to go to school to understand?..what the *** is wrong with you?,why are you acting a fool?..some things are so basic that even your late retarded grandma would have understood..please grow up and debate like you know even if you dont!!..dont expose your idiosyncrasy.
 
Ukiwa na tsh billion moja tanzania wewe ni billionaire, lkn ukishavuka namanga tu u billionaire utauskia kw majirani
Na ndicho tunachosema hapa ss hawa monkeys wanaleta hbr za ksh ingekuwa hvyo bac uku kwetu tungekuwa nao wengi kila mtaa mana ivyo viela wanaviita vya mboga au vijisenti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…