Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,389
Aaah kudadeeki kuna wasenge wana hela aisee...yaani mzigo wote huo ulikuwa wake😁Wapigaji wameanza kurudisha vitita vya pesa serikalini baada ya mzee magu kuwapa chance ya kurudisha ili wasiozee jela, Huyo mwamba karudisha billion 27 taslim tena cash. Zililipwa billions of pesa week ilopita na wengne walopga trillions wanajipanga kurudisha anytime from now kabla ya deadline View attachment 1235879