Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duh!!kwn hko maguu ndio katiba?
Hii movie mbna tamu, endelea kujitengezea mazingira jomba...wezi gani hao wanaiba pesa halafu wanazificha nchini
Awamu hii, tutaona mengi
Wapigaji wameanza kurudisha vitita vya pesa serikalini baada ya mzee magu kuwapa chance ya kurudisha ili wasiozee jela, Huyo mwamba karudisha billion 27 taslim tena cash. Zililipwa billions of pesa week ilopita na wengne walopga trillions wanajipanga kurudisha anytime from now kabla ya deadline View attachment 1235879
 
Duh!!kwn hko maguu ndio katiba?
Hii movie mbna tamu, endelea kujitengezea mazingira jomba...wezi gani hao wanaiba pesa halafu wanazificha nchini
Awamu hii, tutaona mengi
Ss mkuu bilioni 27 ndo yakuikimbizia WB mbn una masikhara ww
 
Hawa wapgaji walianza kupga kabla ya anko magu kuja madarakani. Anko ndo katilia mkazo akin aliwapa chance wachague either waozee jela ama walipe, so wameamua kulipa
Duh!!kwn hko maguu ndio katiba?
Hii movie mbna tamu, endelea kujitengezea mazingira jomba...wezi gani hao wanaiba pesa halafu wanazificha nchini
Awamu hii, tutaona mengi
 
Upper Hill yenyewe ni 1mile kutoka CBD lakini mnapafanya kama ni mji mwingine kabisa ulio mbali.
Unataka iwe 50kms from cbd? Sawa basi, wazungu walitujengea Upper hill 50kms from cbd. 😂 😂
Happy now?
 
Unataka iwe 50kms from cbd? Sawa basi, wazungu walitujengea Upper hill 50kms from cbd. 😂 😂
Happy now?
Ni sehemu hiyo hiyo ya CBD iliyoachwa na wazungu leo mnaipa majina tofauti ili muipe status ya jiji linalopanuka wakati ni sehemu hiyo hiyo. Yaani mnafanya kama demu anayevaa "high hills" ili aonekane mrefu kumbe ni kibushuti.
 
Midanganyika ni mijinga sana. Haya basi, vipi kuhusu hizi?

images(59).jpg
images(58).jpg
MBAGALA (1).jpg
 
Duh!!kwn hko maguu ndio katiba?
Hii movie mbna tamu, endelea kujitengezea mazingira jomba...wezi gani hao wanaiba pesa halafu wanazificha nchini
Awamu hii, tutaona mengi
Stage managing things to win the hearts of Tanzanian morons for votes. We know how these games are played 😂 😂
 
Ni sehemu hiyo hiyo ya CBD iliyoachwa na wazungu leo mnaipa majina tofauti ili muipe status ya jiji linalopanuka wakati ni sehemu hiyo hiyo. Yaani mnafanya kama demu anayevaa "high hills" ili aonekane mrefu kumbe ni kibushuti.
Unamaanisha nini unaposema "iliachwa na wazungu" Naomba ufafanue zaidi
 
Back
Top Bottom