Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,830
Points
2,000
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,830 2,000
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
 
T

Tunna05

Senior Member
Joined
Apr 23, 2019
Messages
103
Points
250
T

Tunna05

Senior Member
Joined Apr 23, 2019
103 250
Hizo article hazipo tena google..washa zitoa 😂😂😂😂.. eti “according to United nation estimates” akuna ata reference.😂. yani kabisa alie tengeneza hizo article ni mkenya... google ina bidi iwe ina chambua sasa article za watu wengine coz mnaichafulia jina. Mna wafukizia wateja. Nyie pambaneni na slums zenu.. it is what it is. Tena mnatakiwa mfuraie ina waingizia mapato, it’s a tourist attraction 😂😂
 
Ppmosile

Ppmosile

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Messages
269
Points
250
Ppmosile

Ppmosile

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2019
269 250
Thibitisha kauli yako kama ardhi ya dar au tz n ya ccm au ndo unaropoka pumba zako husizozijua.

Yaan unataka kulinganisha wanachofanyiwa kenya ni sawa na tz.in tz kl raia ana haki ya kumiliki ardhi na akajenga nyumba yake.

Na hata hivyo tuna shirika la nyumba ya taifa linaloitwa NHC ambao wanapangisha na kuuza nyumba walizojenga wao wenyewe

In kenya raia hana mamlaka ya kumiliki ardhi mmekuwa watumwa kwenye ardhi yenu yenyewe
[/QUOTE]

Wewe itabidi upunguze unywaji wa konyagi, inakupeleka pabaya. Aliyekuambia mkenya haha mamlaka ya kumiliki ardhi ni nani? Ama ilisoma hiyo taarifa wapi? I think this is a case of the pot calling the kettle black. Wewe hapo unakodishiwa ardhi na serikali yenu "tukufu" sisiemu kwa kipindi cha miaka 33, 66 au 99 (kulingana na uwezo wako) wakati mimi ninamiliki ardhi FOR LIFE tena niko hadi na tittle deed. Sasa Kati yangu na wewe nani hana mamlaka ya kumiliki ardhi ndani ya nchi yake?[/QUOTE]Sasa kati ya mimi na wewe nani anayekodishiwa ardhi yani una hata chembe ya aibu kusema ettt sisi wa tz tunakodishiwa ardhi kweli inabadi nisishindane na mjinga ambaye kichwa chake ni kizito kuelewa
 
Nicxie

Nicxie

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2017
Messages
3,988
Points
2,000
Nicxie

Nicxie

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2017
3,988 2,000

2050017_PhotoGrid_1570686571142.jpgNow, can you prove to me that Kenyans have no right to land ownership. At least I have proven my point
 
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
5,068
Points
2,000
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
5,068 2,000
Yani ukwel mchungu aisee...eti thibitisha wewe umenithibitihshia nn zaidi ya kukata mauno hapa..

Narudia tena, ardhi tanzania ni ya ccm..raia wa kawadmida unakodishiwa kw mda flani tu, ukishamaliza mda wake it's either uende uka renew ama serikali waichukue km wana shughuli nayo...utamdanganya nani hapa wewe...kamwe mtanzania hawez miliki ardhi...

Vp kwanza, umeashailipia kodi ardhi na kisima chako
Kwa hilo wewe sahau karibia kila raia watz anamiliki ardhi na nyumba yake ya standard.na ishu kama hii huwezi kuikuta kwa kenya ndo maana mlikuwa mnaililia ardhi yetu coz huko kwenu serikali ndo imemiliki
[/QUOTE]Thibitisha kauli yako kama ardhi ya dar au tz n ya ccm au ndo unaropoka pumba zako husizozijua.

Yaan unataka kulinganisha wanachofanyiwa kenya ni sawa na tz.in tz kl raia ana haki ya kumiliki ardhi na akajenga nyumba yake.

Na hata hivyo tuna shirika la nyumba ya taifa linaloitwa NHC ambao wanapangisha na kuuza nyumba walizojenga wao wenyewe

In kenya raia hana mamlaka ya kumiliki ardhi mmekuwa watumwa kwenye ardhi yenu yenyewe[/QUOTE]
 
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
5,068
Points
2,000
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
5,068 2,000
Yani imekuuma mpka una edit comment yangu
Majamaa wa ku lease ardhi kw serikali
Umeshau km ardhi hko ni ya ccm...
Maskini, yani unakodishiwa ardhi na serikali km vile wewe huna haki ya kuimiliki hyo ardhi km raia mwema...
Unaishi km squater kwenu..si fair haki

how'd you benefit as an individual ikiwa ya serikali ya muungano? waeza kuacha kama urithi? ukiishiwa na pesa mfukoni utaennda kuitisha rent kwa hiyo gorofa?
Kwa hilo wewe sahau karibia kila raia watz anamiliki ardhi na nyumba yake ya standard.na ishu kama hii huwezi kuikuta kwa kenya ndo maana mlikuwa mnaililia ardhi yetu coz huko kwenu serikali ndo imemiliki[/QUOTE][/QUOTE]
 
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
19,823
Points
2,000
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
19,823 2,000
Wewe itabidi upunguze unywaji wa konyagi, inakupeleka pabaya. Aliyekuambia mkenya haha mamlaka ya kumiliki ardhi ni nani? Ama ilisoma hiyo taarifa wapi? I think this is a case of the pot calling the kettle black. Wewe hapo unakodishiwa ardhi na serikali yenu "tukufu" sisiemu kwa kipindi cha miaka 33, 66 au 99 (kulingana na uwezo wako) wakati mimi ninamiliki ardhi FOR LIFE tena niko hadi na tittle deed. Sasa Kati yangu na wewe nani hana mamlaka ya kumiliki ardhi ndani ya nchi yake?
Sasa kati ya mimi na wewe nani anayekodishiwa ardhi yani una hata chembe ya aibu kusema ettt sisi wa tz tunakodishiwa ardhi kweli inabadi nisishindane na mjinga ambaye kichwa chake ni kizito kuelewa
[/QUOTE]

View attachment 1228228

Now, can you prove to me that Kenyans have no right to land ownership. At least I have proven my point
[/QUOTE]
The same laws apply to Kenya!
 
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
5,068
Points
2,000
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
5,068 2,000
Nithibitishie wewe kwanza km mkenya hana uhuru wa kumiliki ardhi...
Yani nangoja uingie kwenye kumi na nane nikuchome sindano kali sana...mda si mresfu utakimbia
 
Nicxie

Nicxie

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2017
Messages
3,988
Points
2,000
Nicxie

Nicxie

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2017
3,988 2,000
Sasa kati ya mimi na wewe nani anayekodishiwa ardhi yani una hata chembe ya aibu kusema ettt sisi wa tz tunakodishiwa ardhi kweli inabadi nisishindane na mjinga ambaye kichwa chake ni kizito kuelewa
View attachment 1228228
Now, can you prove to me that Kenyans have no right to land ownership. At least I have proven my point
[/QUOTE]
The same laws apply to Kenya!
[/QUOTE]
Which laws? Can you prove this claim? Land is leased only to foreigners in Kenya, not to natives like me, unless it is for special use. As a native Kenyan, I have a right to freehold land ownership FOR LIFE.

2053755_PhotoGrid_1570688166692.jpg

You can visit the National Land Commission website for more information. It is the body responsible for all land related issues in Kenya
 
Forum statistics

Threads 1,343,109
Members 514,937
Posts 32,774,067
Top