Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dodoma itauwa watu
 


Nairobi Metropolitan area (Built up area) comprising Kiambu, Machakos, Kajiado and soon Muranga.
 
kaka mkenya kuhusu ardhi hakuna anachoelewa ni makunguru tu
 
huyo kunguru hana cha kusema chenye point kuhusu ardhi kwa mkenya nothing zaidi ya utumwa wa utaifa
 


Vitu kwa ground dodoma. They tried planning but inakaa Airport iko doomed for expansion in future.
 
Yani kwa hii post nilimuona bongee la pang'ang'a huyu.
Yani hata ardhi ya kijiji haijui.
Anadhani ardhi ya kijiji ni ile ya jumuiya kumbafu huyu.
Ardhi ya kijiji ni local lands wanazomiliki local people in their localities ndio maana nikamwambia hiyo ardhi inamilikiwa kimila mathalan kurithishana mzee kafa unakamata ardhi yake inakuwa yako.
Asa km ni ardhi ya wanakijiji wote mtu unairithije???
Halafu eti ndio watu werevu hawa !!!
we ni mla gongo na si mnywaji
 
Ubaya ni kwamba unabishana hadi na maneno ya mashirika yenu. Bongolala ni bongolala tu, hakuna siku atabadilika
 
View attachment 1230860
View attachment 1230861
Vitu kwa ground dodoma. They tried planning but inakaa Airport iko doomed for expansion in future.
Baada ya kuona wanaume wanaiongelea Dodoma, uka ingia google kujaribu kutafuta kasoro ukaishia kuona Airport tu! Hiyo airport itahamishwa msee, eneo limesha patikana na hatua zote za awali zimefanyika, pesa zipo tayari. Soon tender itatangazwa "Msalato airport" huo mchoro upo subject to change.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…