Mbna una hisia hvo
I am not interested with murders lobbying into Leadership positions
A witch will never lack excuses, enjoy the product of your low quality construction. View attachment 1228880View attachment 1228881
Pimbi za Kenya tutaziacha mbali sana maana wao ni khbweka tu kama mbwa koko wakati sisi tunazindua kilq siku wewe waache baada yq miaka miwili ijayo ndiyo watajua awajui watakapo ona hadi mabeberu wakiisujudia tz
Bwaaaahh hivi nyinyi pimbi mnafikili mnaweza kwenda na mwendo wa maendeleo tunao kwenda nao watz kweli maana sisi huku kila kukicha tunazindua project za serikali wakati nyinyi mnabweka tu hamng'atiUna ushahidi ukamshtaki
👍Dar si yakufananisha na vitu vya kipuuz
👍Flyover ipo hapo juu inajengwa
Interchange roads
View attachment 455918 View attachment 455919 View attachment 455920 View attachment 455921
Coming ubungo Interchange Flyover
View attachment 455922
http://tanroads.go.tz/uploads/documents/en/1449130015-UNDER PROCUREMENT.pdf
leteni hizo old studios tuone
kithibitisho tosha ni wewe,,kwani bado hauna ardhiKwa vile Mimi ni mjinga na wewe ni mwerevu sana, hebu dhibitisha kwamba wakenya wengi hawana mamlaka ya kumiliki ardhi
Kwani hapa tunazungumzia nini??Hayo yote unayoyasema hku pia yapo...sijui kijiji, jamii etc.
Hzo huaga ni ardhi za jumuiya...ndo manake huaga hazina tittle deed...
Tunaposema umilikaji wa ardhi, hatumaanishi ardhi ya jumuiya, eti community land...namaanisha ardhi yako binafsi yenye hati miliki...
Manake hku iwe ni ya community, itakua yako milele, vile vile ukiikatia tittle deed bado itakua ya kwako milele
Punguza kunywa gongo man.
Naona akili zako mbovu.
Ardhi ya kimila mm kama mm nikiwa nataka kuimiliki ina umilikaji wake.
Kwan mm sio mtu binafsi???
Au ww unaelewa nn unapoambiwa ardhi ya kijiji???
Doh asee punguza gongo.
Ardhi ya hifadhi na zinginezo zina umilikaji wake tofauti kijana.
Ukishindwa nielewa hapo sitakaa nikabishana tena.Kwani hapa tunazungumzia nini??
Unazidi kunifanya nikuone mkumbafu.
Ardhi hapa Tz zina mgawanyiko ktk umiliki.
Kuna ya jumla,ya kimila/kijiji na hifadhi.
Na hzo ardhi umilikaji binafsi ni tofauti ndio maana zimeletwa aina mbili za umilikaji.
Kwan hapa tunazungumzia umilikaji wa nani km sio mwananchi binafsi ???
Punguzeni gongo zitawaua.
Bwaaaahh hivi nyinyi pimbi mnafikili mnaweza kwenda na mwendo wa maendeleo tunao kwenda nao watz kweli maana sisi huku kila kukicha tunazindua project za serikali wakati nyinyi mnabweka tu hamng'ati