Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hayo yote unayoyasema hku pia yapo...sijui kijiji, jamii etc.
Hzo huaga ni ardhi za jumuiya...ndo manake huaga hazina tittle deed...

Tunaposema umilikaji wa ardhi, hatumaanishi ardhi ya jumuiya, eti community land...namaanisha ardhi yako binafsi yenye hati miliki...

Manake hku iwe ni ya community, itakua yako milele, vile vile ukiikatia tittle deed bado itakua ya kwako milele[/QUOTE]Kwani hapa tunazungumzia nini??
Unazidi kunifanya nikuone mkumbafu.
Ardhi hapa Tz zina mgawanyiko ktk umiliki.
Kuna ya jumla,ya kimila/kijiji na hifadhi.
Na hzo ardhi umilikaji binafsi ni tofauti ndio maana zimeletwa aina mbili za umilikaji.
Kwan hapa tunazungumzia umilikaji wa nani km sio mwananchi binafsi ???
Punguzeni gongo zitawaua.[/QUOTE]
 
Una ushahidi ukamshtaki

IMG_8989.JPG
 
October 2019

Stunning Panoramic 360 Degrees View of Dar-es-Salaam city, Tanzania from a speedy ferry travelling between Dar-es-Salaam and Zanzibar

Source: Knowledge Channel
 
Una ushahidi ukamshtaki
Bwaaaahh hivi nyinyi pimbi mnafikili mnaweza kwenda na mwendo wa maendeleo tunao kwenda nao watz kweli maana sisi huku kila kukicha tunazindua project za serikali wakati nyinyi mnabweka tu hamng'ati
 
leteni hizo old studios tuone
we jamaa bange zinakusumbua......hii ni 3019 old studio zitoke wapi na zitakusaidia nini.....

wacha ukichaaaa

hebu kaa kisha fuatilia takwimu baina ya kenya na tanzania ni nchi ipi yenye tuzo za super brand stations na super brand tv...?

ukishapata jibu usirudi hapa na ulevi wako wa chang'aa maana huna hoja
 
Punguza kunywa gongo man.
Naona akili zako mbovu.
Ardhi ya kimila mm kama mm nikiwa nataka kuimiliki ina umilikaji wake.
Kwan mm sio mtu binafsi???
Au ww unaelewa nn unapoambiwa ardhi ya kijiji???
Doh asee punguza gongo.
Ardhi ya hifadhi na zinginezo zina umilikaji wake tofauti kijana.
Ukishindwa nielewa hapo sitakaa nikabishana tena.
Hayo yote unayoyasema hku pia yapo...sijui kijiji, jamii etc.
Hzo huaga ni ardhi za jumuiya...ndo manake huaga hazina tittle deed...

Tunaposema umilikaji wa ardhi, hatumaanishi ardhi ya jumuiya, eti community land...namaanisha ardhi yako binafsi yenye hati miliki...

Manake hku iwe ni ya community, itakua yako milele, vile vile ukiikatia tittle deed bado itakua ya kwako milele
Kwani hapa tunazungumzia nini??
Unazidi kunifanya nikuone mkumbafu.
Ardhi hapa Tz zina mgawanyiko ktk umiliki.
Kuna ya jumla,ya kimila/kijiji na hifadhi.
Na hzo ardhi umilikaji binafsi ni tofauti ndio maana zimeletwa aina mbili za umilikaji.
Kwan hapa tunazungumzia umilikaji wa nani km sio mwananchi binafsi ???
Punguzeni gongo zitawaua.[/QUOTE][/QUOTE]
 
Heheeee...we nitusi unavyotaka lkn ukwel ni kwamba, hayo yote unayoyaongelea kenya yapo...
Halafu umenielewa lkn unataka kuzuga tu...ardhi ya jamii utaimiliki kw sababu mayb wewe ni wa hyo jamai au hta ya kijiji utarithi kutoka kw baba yako...
Sasa maneno mengi ya nn?hapa nataka unieleze mtu kumiliki ardhi yake mwenyewe pale anapotaka sio eti ategemee ya jamii...

Kw mfano kenya mtu wa mombasa akinunua ardhi ngong anapewa tittle deed na wala hamna wa kumtatiza, ni ya kwake milele...
Tatizo hutaki kukubali km mnakodishiwa ardhi...yani unanua ardhi na unapewa hati lkn unawekewa mda ukiisha unaregea tena hko uka renew km sio u squater ni nn?
Punguza kunywa gongo man.
Naona akili zako mbovu.
Ardhi ya kimila mm kama mm nikiwa nataka kuimiliki ina umilikaji wake.
Kwan mm sio mtu binafsi???
Au ww unaelewa nn unapoambiwa ardhi ya kijiji???
Doh asee punguza gongo.
Ardhi ya hifadhi na zinginezo zina umilikaji wake tofauti kijana.
Ukishindwa nielewa hapo sitakaa nikabishana tena.Kwani hapa tunazungumzia nini??
Unazidi kunifanya nikuone mkumbafu.
Ardhi hapa Tz zina mgawanyiko ktk umiliki.
Kuna ya jumla,ya kimila/kijiji na hifadhi.
Na hzo ardhi umilikaji binafsi ni tofauti ndio maana zimeletwa aina mbili za umilikaji.
Kwan hapa tunazungumzia umilikaji wa nani km sio mwananchi binafsi ???
Punguzeni gongo zitawaua.
 
Tunagoja mzindue kile kituko cha mturuki
Bwaaaahh hivi nyinyi pimbi mnafikili mnaweza kwenda na mwendo wa maendeleo tunao kwenda nao watz kweli maana sisi huku kila kukicha tunazindua project za serikali wakati nyinyi mnabweka tu hamng'ati
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom